Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Yan leo toka saa 8 niko humu, daahh haya maisha mwenzenu niliishi 2010 after high scul, sasa uzeen yamenirudia tena. 😂😂Fanton Mahal kulala sio dhambi bro
si bora uwe mlinzi kudadadeki 😂Yan leo toka saa 8 niko humu, daahh haya maisha mwenzenu niliishi 2010 after high scul, sasa uzeen yamenirudia tena. 😂😂
Ndio nilikua zamu jana na akina Bantu Lady na Dalali wa mjini tunalinda majukwaa ya JF wahuni kama wewe msiyavunje na kuiba mbao za majukwaa 😂si bora uwe mlinzi kudadadeki 😂
Kaka mbona sija kuona?, akati nili kesha huko 🤣Ndio nilikua zamu jana na akina Bantu Lady na Dalali wa mjini tunalinda majukwaa ya JF wahuni kama wewe msiyavunje na kuiba mbao za majukwaa 😂
OkMo money mo problems.
Still I want it all.
Hahaha, muda bado upo si wana sema life begins 40 hapo 🤣😂Kuna muda nikikumbuka nilivyokuwa kijana mdogo nilikuwa natamani kuwa na life fulani la kama don, gari kubwa nyumba ya ghorofa, akaunti imejaa dola. Lakini nikaja kugundua ni utoto tu, cha muhimu zaidi ni uhai na afya njema😃
Alisema atalala kabla ya saa 6 usiku ilivyofika saa 6:39 nikamuuliza kama amelala, ameenda kinyume na maneno yake saa 6:40 nikaona notification yake 😂Ushahidi wa nini tena😃😃
Mkuu umelala kweli?
😂
Tuseme inshallah 😂 😂
Kikubwa nime lala 😂 😂Alisema atalala kabla ya saa 6 usiku ilivyofika saa 6:39 nikamuuliza kama amelala, ameenda kinyume na maneno yake saa 6:40 nikaona notification yake 😂
Ngoja nikuache nikatazame series sasa 😂Kikubwa nime lala 😂 😂
UNa uhakika ulihudhuria mkesha dogo? Au ndio sis tunaomba wewe umelala na ni mkesha wa maombi ya ijumaa??Kaka mbona sija kuona?, akati nili kesha huko 🤣
Mimi nime Anza kitambo😂🤣Ngoja nikuache nikatazame series sasa 😂
Bro nili kuwa front line.UNa uhakika ulihudhuria mkesha dogo? Au ndio sis tunaomba wewe umelala na ni mkesha wa maombi ya ijumaa??
i want it all 😂😂Shida haji manara Half american ni konokono asiye ridhika 😂🤣