CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,272
- 1,873
huwezi kuwa FOGO kwenye nchi masikini km hivi. alisikika mkulima mmoja wa jembe la mkono akisema, baada ya kulewa wanzuki ya kununuliwa.
simplicity ni kitu muhimu sana, nime jifunza toka mdogo.Mi hata Bilion 1 usd nakaa nayo na nipo kawaida
Nimejifunza simplicity kwenye maisha nilivyoanza kupata pesa
Ndo nimekuja kujua wale matajiri wanaitwaga wachawi kwa kuwa simple
Ukiweza kuzioea ela hutaridhika
Ila ukizioea unakua umesharidhika
Mi sijazizoea naziona ndogo ndogo and i want more and more each day
Heshima yako pia ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro maxHeshima yako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max
Naam salaam majobless pro max dosho12 min -me Thecoder makutuporaHeshima yako pia ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro max
Mfano ki afrika afrika kiasi gani ni safi?Kuna viwango vinatosha kabisa ila ukipata zaidi sio mbaya...
Ko siku nyingine mimi ndio mna niacha live😂😁Ni jana tu 😂
hiyo inategemea mtu na mtu, uafrika sio kigezo kikubwaMfano ki afrika afrika kiasi gani ni safi?
Ili uwe una jipimia mwenyewe 😂😁Nimiliki kiwanda cha pombe basi mambo mengi staki.
Nili penda concept ya kiyosaki kwenye kitabu cha retire young retire rich.hiyo inategemea mtu na mtu, uafrika sio kigezo kikubwa
kuna harakati inaitwa FIRE(financial independence, retire early) wanakusanya hela ili wastaafu mapema iwezekanavyo
fuatilia maudhui yao mitandaoni uone hesabu zao
Bila shaka 😂Ko siku nyingine mimi ndio mna niacha live😂😁
Ili uwe una jipimia mwenyewe
Kaka kabla ya saa 6 huto niona😂😂Bila shaka 😂
Tumuite shahidi Selikavu 😂Kaka kabla ya saa 6 huto niona😂😂
Mkuu umelala kweli?Sawa kaka😂😂
Tuseme inshallah 😂 😂Mkuu umelala kweli?
😂
Basi ngoja mie nikuache sasa utabadirishana shift na Selikavu 😂Tuseme inshallah 😂 😂