Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #61
Kidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usiku😂😂😃😃😃Aseeee tutampoteza huyo soon
Kidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usiku😂😂😃😃😃Aseeee tutampoteza huyo soon
Kijana kashindikana huyo, Mimi siku hizi saa 4, 5, niki chelewa ni 6 kamili nilisha lala.Unamtag huyo wakati analala masaa 2 usiku 😂
Kwenye ubora wangu siku lala mwezi mzima😂😂Sasa nani wakupotea kati yangu na wewe? saa 8 usiku upo WhatsApp saa 11 alfajiri upo JF, unalala masaa mawili 2 😂
Mkuu mbona sikuhizi nimepunguza sana, nilikuwa nakawaida nikiianza series basi niimalize mapema nianze nyingine 😂Kidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usiku😂😂
Ndiyo nina miaka yangu si zaidi ya mitano kabla sijaacha kufanya kazi for money labda ibaki kama hobby.Hongera kwa hilo, lakini na umri pia ume uzingatia?
Mimi huu u optimistic ndani yangu ndio kamzozo, mfano nili sema wiki 2 hizi napumzika ila una jikuta saa 11 asubui naanza kuwaza hili na lile.
Mimi nilisha weka kikomo, 35 I'm done with everything.Ndiyo nina miaka yangu si zaidi ya mitano kabla sijaacha kufanya kazi for money labda ibaki kama hobby.
Napenda kupumzika, sipendi kujichosha na napenda kula raha; so kwangu hilo si tatizo kabisa. Naweza kwenda sehemu ya rest na nikaswitch kila kitu off hata wiki 2.
Sawa haji manaraKikubwa pumzi ipo
KomaSawa haji manara
Unanishangaa mimi kuna Intelligent Businessman yeye sijui huwa analala saa ngapi😃😃😃Sasa nani wakupotea kati yangu na wewe? saa 8 usiku upo WhatsApp saa 11 alfajiri upo JF, unalala masaa mawili 2 😂
Ataingia team popo sio muda😃😃Kidogo kidogo ata Anza kutafuta sababu za kuto kulala usiku😂😂
Iv wewe na mimi nani popo🤣🤣Kijana kashindikana huyo, Mimi siku hizi saa 4, 5, niki chelewa ni 6 kamili nilisha lala.
Hakuna kitu kama hicho 🤣🤣
Nimesha staafu u popo, siku hizi saa 4 tu usingizi huo waja wenyewe.Iv wewe na mimi nani popo🤣🤣
Kaka amini kwambaHakuna kitu kama hicho 🤣🤣
Huyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo 😂Unanishangaa mimi kuna Intelligent Businessman yeye sijui huwa analala saa ngapi😃😃😃
Ko mna taka nisiwe najibu eboo😁😂🙄Huyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo 😂
😂😂😂Ko mna taka nisiwe najibu eboo😁😂🙄
Wewe hulali me nalala sana tuu😃😃Nimesha staafu u popo, siku hizi saa 4 tu usingizi huo waja wenyewe.