Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hongera kwa hilo, lakini na umri pia ume uzingatia?Ndiyo, binafsi nilitengeneza list ya mambo na vitu vya ndoto yangu.
Naendelea kutick ✅ baada ya kutimia sitaki kuendelea kutafuta wala kupambana bali kuenjoy life tu.
Maendeleo ya uboreshaji haya epukiki, ila kitu muhimu ni msimamo waki juu ya yaliyo bora kwako.Shida vitu vikali vinaibuka kila siku, kuridhika ni uongo,
Sio mbaya pia, I mean no malice to nobody.Majobless muhimu tumekula na kushiba pamoja kupata sehemu ya kuegesha tumbo usiku baaaasi
Kidumu👊👊Sio mbaya pia, I mean no malice to nobody.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
Huo wivu unao taka waupate una weza kugeuka chuki mzee, na waka ishia kukusambaratisha.ishi maisha yako hadi wakuonee wivu, waje kukuomba notes
Una hakika uta uweza ukubwa huo?, kuanzia kwenye matokeo yake kiakili, kimwili na hata ushindani?.Mimi pia naweza sema leo nalala asubuh ila ikifika asubuh naanza kuwaza nikimbie chapu
Ki ukweli i want it all
Hapo kwenye kulala halafu una amka, nime cheka Sana.Mimi pia naweza sema leo nalala asubuh ila ikifika asubuh naanza kuwaza nikimbie chapu
Ki ukweli i want it all
kwenye list yangu we upo bado kidogo ntakutick✅ aunt dot comNdiyo, binafsi nilitengeneza list ya mambo na vitu vya ndoto yangu.
Naendelea kutick ✅ baada ya kutimia sitaki kuendelea kutafuta wala kupambana bali kuenjoy life tu.
Wivu haukwepeki, hata watu wakiona hulali njaa kama wao wataona wivu 😁😂Huo wivu unao taka waupate una weza kugeuka chuki mzee, na waka ishia kukusambaratisha.
Ko una umendea huu Mshangazi dot com, ila si ali sema kaolewa?kwenye list yangu we upo bado kidogo ntakutick✅ aunt
Naam dunia kweli ni uwanja wa fujo, nili angalia series ya peaky blinders na sopranos, nika ona napita mule mule kwenye uhalisia wa maisha yangu.Wivu haukwepeki, hata watu wakiona hulali njaa kama wao wataona wivu 😁😂
Kikubwa ujue duniani ni uwanja wa vita
swala la yeye kuolewa ondoa shaka kiongoziKo una umendea huu Mshangazi dot com, ila si ali sema kaolewa?