Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza makasiriko mkuu[emoji23][emoji23]Daaah...nyie ndo mnasababisha Manara aone sisi Yanga tuna Vinyesi kwenye nguo. Kumbe ni sababu ya watu wachache kama wewe mnakuwa na kinyesi kichwani.
oya sio poa, halafu mudy yuko wapi haonekaniBora achukue chake mapema.....sizani Kama mwamedi atamlipa
niliposoma taito nilijua kuna mambo ya msingi ya kujadili, kumbe ni upuuzi kuanzia juu mpaka chiniHakika jina lenu jipya linareflect mambo yenu
Wewe ni uto.Mimi Sina timu mkuu.....sisi wachambuzi sio mashabiki wa timu yeyote
Tatizo lenu kuu ni huo MWIKO huko nyuma ndio maana mmetapakaa vinyesi kila shabiki mpaka viongozi wenu....asante Haji Manara + Wallace...Asijisumbue kufungua mabegi
Mbona ni hamnazo kama walivyo uto wote?No mkuu.......npo neutral
Hamna mkuu......mm ni mchambuzi wa soka and not shabikiYaan mashabiki wa Utopolo wameshaachana na Domolepe wao, wamehamia Ismailia kwa Lunyasi. Khaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hangaikeni na kambi ya mikwambe kibonde maji.
Byuti byuti.
Hapa Mayele pale Aziz, Fei toto, Msuva.. ni msiba mmoja baada ya mwingineKwann mkuu[emoji23][emoji23]