Je, una lipi la kumuambia Kocha mpya wa Simba?

SOKA LA BONGO UKISIMULIWA KWENYE MAANDISHI AU GAZETI, RAHA SANA

ILA NJOO UWANJANI SASA....
Una maanisha Zoran.....ni Kama tu yule Pablo wa kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]?
 
Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi......pia sitaki pasi za nyuma ( anataka pasi za kwenda mbereee[emoji23][emoji23])

Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa Sana na mpira that's y tulishinda goli moja .......but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndio maana tulipata magoli matano
...........................................................

Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt

2) akumbushwe kuwa Kuna mwamba anaitwa Feitoto......& Mayele

3.) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]

Je Kama mwana soka ...(Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa....

Source : mchambuzi

Thanks
Lete kwanza cv ya nabi mnayemuita professor kama kuna team kashawahi kukaa mwaka mmoja zaidi ya vyura wa kigamboni baada ya kutembeza bahasha za kaki.
 
Hapana mkuu.....tuna mjadili kocha Zoran kwanza
 
Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi......pia sitaki pasi za nyuma ( anataka pasi za kwenda mbereee[emoji23][emoji23])

Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa Sana na mpira that's y tulishinda goli moja .......but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndio maana tulipata magoli matano
...........................................................

Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt

2) akumbushwe kuwa Kuna mwamba anaitwa Feitoto......& Mayele

3.) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]

Je Kama mwana soka ...(Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa....

Source : mchambuzi

Thanks
Daaah...nyie ndo mnasababisha Manara aone sisi Yanga tuna Vinyesi kwenye nguo. Kumbe ni sababu ya watu wachache kama wewe mnakuwa na kinyesi kichwani.
 
Back
Top Bottom