Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIMBA KWA USAJILI HUU MATESO SASA BASIUna maanisha Zoran.....ni Kama tu yule Pablo wa kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]?
Unashambulia kama nyuki wachezaji wako ni kina Kapama, Kibu, Kiyombo na MzamiruUna maanisha Zoran.....ni Kama tu yule Pablo wa kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]?
Sasa wewe mtopolo unaulizia mambo ya Simba si ndiyo utaahira wenyewe huoTupe mtazamo wako mkuu....unazan Zoran atakaa nuda gani pale estadio de kolo?
Lete kwanza cv ya nabi mnayemuita professor kama kuna team kashawahi kukaa mwaka mmoja zaidi ya vyura wa kigamboni baada ya kutembeza bahasha za kaki.Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi......pia sitaki pasi za nyuma ( anataka pasi za kwenda mbereee[emoji23][emoji23])
Katika kipindi cha kwanza wachezaji walikuwa wanakaa Sana na mpira that's y tulishinda goli moja .......but Kipindi cha pili kasi iliongezeka na wachezaji walikimbia kuelekea mbele ndio maana tulipata magoli matano
...........................................................
Vitu vya kumkumbusha ndugu Zoran el de kolo
1) Asisahau kuwa timu anazocheza nazo pre season ni a ligue dalaja la 3 pale Egypt
2) akumbushwe kuwa Kuna mwamba anaitwa Feitoto......& Mayele
3.) Pablo alikuja na tambo akisema anahusudu soka la kushambulia Kama nyuki [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
Je Kama mwana soka ...(Simba) una lipi la kumwambia kocha letu kimataifa....
Source : mchambuzi
Thanks
NI SUALA LA MUDA TUWamesajili kina quatara ....mchezaji Kama mcheza mieleka[emoji23][emoji23][emoji23] uzito kilo 300
Mimi Sina timu mkuu.....sisi wachambuzi sio mashabiki wa timu yeyoteSasa wewe mtopolo unaulizia mambo ya Simba si ndiyo utaahira wenyewe huo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
utasikia tunamtakia kila la heri kwenye changamoto mpyaMiezi sita hachomoi[emoji23][emoji23]
Daaah...nyie ndo mnasababisha Manara aone sisi Yanga tuna Vinyesi kwenye nguo. Kumbe ni sababu ya watu wachache kama wewe mnakuwa na kinyesi kichwani.Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi......pia sitaki pasi za nyuma ( anataka pasi za kwenda mbereee[emoji23][emoji23])