Hapana mkuu....mimi sina timu but ni mchambuzi mahiliWewe ni shabiki na mpenzi wa Yanga ni haki yako kuiona Simba kwa mtazamo huo.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aaargh.... Unayo audio yake? Maana mimi nimetumiwa na watu hii ya Manara tena video.Hapana mkuu aliyewatukana yanga ni raisi wa tiefu efu
SureInabidi aandae nguvu nyingi.....coz wabongo bado sana kwenye ndondi
Hata ungekuwa mchakondoo 'mahiri' haibadili ukweli kuwa wewe ni mtopolo oya oyaHapana mkuu....mimi sina timu but ni mchambuzi mahili
Zoran: akiongea na waandishi wa habari amejitapa kuwa " Mimi Ni muumini wa soka la kasi na sitaki mchezaji akae na mpira muda mwingi.......
Sawa mkuu....ila tumuandae kocha wetu kisaikolojiaHata ungekuwa mchakondoo 'mahiri' haibadili ukweli kuwa wewe ni mtopolo oya oya
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hayakusu. Huu ushambenga wako huko huko UtopoloniSawa mkuu....ila tumuandae kocha wetu kisaikolojia
Nadhan sasa umemsikia kocha wetu.zoran...akilalamikia ubovu wa kiwanja pale Egypt.....swali je ameuona uwanja wa sokoine[emoji23][emoji23]Hayakusu. Huu ushambenga wako huko huko Utopoloni
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huo upumbavu wako washirikishe vinyesi wenzakoNadhan sasa umemsikia kocha wetu.zoran...akilalamikia ubovu wa kiwanja pale Egypt.....swali je ameuona uwanja wa sokoine[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajiju.Ndo nini
Hapana mkuu...lazima tumuambie ukweliHuo upumbavu wako washirikishe vinyesi wenzako
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Binafsi namtabiria miezi 8 ya kukaa msimbazi....... from now onView attachment 2304532