Duh, noma sana!Mimi bana sijui ni allergy au ni nini ila siwezi kabisa kula mayai, yawe yamekaangwa au kuchemsha sili. Kwanza nikisikia tu harufu ya yai nahisi kutapika. Cha ajabu sasa, chips mayai na vyakuka vyote vinavyochanganyiwa mayai nakula vizuri tuu.
Kuhusu phobia, mimi nina height phobia. Hua nikipanda ghorofani nikiangalia chini najiskia kufakufa. Cha ajabu nikipanda ndege hua napenda sana siti ya dirishani na lazima niangalie chini basi naona kama ndio nimeshakufa tayari naelekea zangu mbinguni.
DuhNaogopa nyoka
Naogopa kupokea simu yenye namba ngeni
Hii phobia inaitwaje mkuu maana nahisi hata mini ninayo, kuanzia ghorofa ya 5 nikiangalia chini naogopa.Mimi Nina height phobia ya kuwa juu ya kitu iwe jengo ama ngazi..
Juzi nimepanda daraja la kuvuka buguruni muda was kidogo niombe mtu anishike mkono
πππ.aisee.mkuu hata kunya hutaki wakati wengine kwao ni starehe.!kwa kweli mimi nikinywa chai ya moto na chapati natapika balaa! nachukia sana kunya..π₯²