TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Mimi bana sijui ni allergy au ni nini ila siwezi kabisa kula mayai, yawe yamekaangwa au kuchemsha sili. Kwanza nikisikia tu harufu ya yai nahisi kutapika. Cha ajabu sasa, chips mayai na vyakuka vyote vinavyochanganyiwa mayai nakula vizuri tuu.
Kuhusu phobia, mimi nina height phobia. Hua nikipanda ghorofani nikiangalia chini najiskia kufakufa. Cha ajabu nikipanda ndege hua napenda sana siti ya dirishani na lazima niangalie chini basi naona kama ndio nimeshakufa tayari naelekea zangu mbinguni.