Je, una mzio (allergy) au uoga (phobia) na kitu gani?

Mimi bana sijui ni allergy au ni nini ila siwezi kabisa kula mayai, yawe yamekaangwa au kuchemsha sili. Kwanza nikisikia tu harufu ya yai nahisi kutapika. Cha ajabu sasa, chips mayai na vyakuka vyote vinavyochanganyiwa mayai nakula vizuri tuu.

Kuhusu phobia, mimi nina height phobia. Hua nikipanda ghorofani nikiangalia chini najiskia kufakufa. Cha ajabu nikipanda ndege hua napenda sana siti ya dirishani na lazima niangalie chini basi naona kama ndio nimeshakufa tayari naelekea zangu mbinguni.
 
Duh, noma sana!

Hv mkuu, vp kuhusu kuchungulia akiwa kwenye ndege hivi huwa unaona nini ikiwa hasa juu angani?
 
Mimi Nina height phobia ya kuwa juu ya kitu iwe jengo ama ngazi..
Juzi nimepanda daraja la kuvuka buguruni muda was kidogo niombe mtu anishike mkono
Hii phobia inaitwaje mkuu maana nahisi hata mini ninayo, kuanzia ghorofa ya 5 nikiangalia chini naogopa.
 
Mimi binafsi nachukia sana kula vitunguu vilivyopikwa na nyanya pia sipendi tena vinanichefua balaaa....

Naogopa sana jongoo yaani hata kumuona tu hata kwenye picha ni shida.
 
Back
Top Bottom