Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hiki kitu unataka kukifanya kua makini nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba ufafanuzihiki kitu unataka kukifanya kua makini nacho
Ukiwa unamasnisha vipi mkuu !hiki kitu unataka kukifanya kua makini nacho
Mafanikio yoote hayaji kwa wepesi ugumu wa jambo fulani huongeza na kukuza ukomo wa fikra na maarifa hivo mwisho ufumbuzi yakinifu hupatikanaMkuu una wazo zuri sana
Tatizo ni uaminifu kwa watanzania wegi ni 0
Yes iko namna tayari ya kuzuia na ku monitorHii biashara kama huna namna ya kuzuia mtu unae Muuzia kusambaza kwa mwingine basi hakuna kitu hapa
Mfano nikiwa na laptop yangu naweza gawa Wireless nyumbani kwa familia au ofisini au mtaani kwa wadau kwa buku niliyolipia...!
Una wezaje kuboresha ulinzi wa huduma ili iwe kwa aliyelipia , yani atakayelipia ndiye atakaye hudumiwa
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers tulionao hapa nchini kama Tigo, Vodacom na wengineo
Kutokana na utandawazi na maendeleo ya kasi katika karne hii matumizi ya huduma za internet yamekuwa makubwa kadiri siku zinavoongezeka hivo kufanya uhitaji (DEMAND) wa huduma hii kuwa mkubwa zaidi ila kwa bahati mbaya kwa nchi zetu hasa barani africa miundombinu ya kupata huduma
hii sio rafiki sana
WAZO LANGU SASA
Kwasasa upatikanaji wa huduma ya UNLIMITED INTERNET sio kubwa sana hapa nchini na hata hiyo kidogo inayopatikana imekuwa ghali kidogo ukilinganisha na kipato cha wengi wetu mfano (20Mbps inauzwa kwa Tsh, 100,000/=) hapo ukiachana na gharama za installation ya miundombinu ili upate huduma katika eneo lako
Sasa basi kwa kuliona hili nikawaza kwanini tusiweze kusambaza huduma hii kwa wale ambao wataweza kulipia huduma hii kwa siku na wakapata walau huduma ya Unlimited internet ambayo inaweza kumsaidia kwa shuli ndogo ndogo za hapa na pale kama kuperuzi mitandaoni,ufanyaji biashara online na kuwasaidia kupunguza gharama kubwa za bando tulizonazo mtaani kutoka kwa local providers Mfano GB 1 kwasasa ni 2100 au GB 35 kwa mwezi ni 50,000 sasa ukiangalia mtu huyu anatumia gharama kubwa sana pengine zisiweze kukidhi mahitaji yake kwa mwezi mzima.
MKAKATI ULIOPO
Kununua Unlimited internet kwa local providers tulionao hapa nchini iwe fiber net au wireless net na kisha kuisambaza kwa watu ambao hawana uwezo wa kumiliki hiyo huduma na kuwawezesha kulipia hiyo huduma kwa siku MFANO kununua 20Mbps kwa local providers na kuiuza kwa watumiaji wa chini walau kwa 10 user per 20 mbps hii itasaidia kuokoa gharama za watu wengi Imagine unapata kutumia unlimited internet kwa buku tu siku nzima nyumbani kwako imekaa poa eeeeeh? Sasa hii ndio idea yenyewe
Kufanikisha haya yote nilikuja kugundua sio wazo pekee na idea inaeeza kutekeleza hili bali pia na mtaji hasa wa baadhi ya vifaa wezeshi unaweza kufanya hili jambo kutekelezeka kiurahisi kabisa
MUWEKEZAJI
Kwakuwa hii huduma inahitaji uwekezaji pia basi niliona ku share hili wazo kwa wewe ambae unamtaji na hujafahamu niwapi hasa ungeweza kuwekeza na kupata faida za uwekezaji wako, nikutoe shaka na nikukaribishe kuwekeza kwenye hili wazo kwakuwa mimi pia ninaufahamu mzuri wa hii huduma lakini pia ni muajiriwa ambae nahusika na usambazaji wa hii huduma ya Dedicated and shared Internet kutoka local providers hapa nchini
MCHANGANUO WA UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA AU WAZO HILI
1. Kwanza kabisa lazima tuwe na mtaji wa kununua Unlimited package kutoka kwa local providers ambapo vifurushi vyao huuzwa kwa kuangalia kipimo cha speed ya internet kinachofahamika kama Mbps ( megabite per second )
Hichi kipimo ndio huwezesha kujua hitaji na kiwango cha uhitaji kulingana matumizi ambapo kama nilivoeleza hapo juu kwa local providers wengi 20Mbps kwa shared Internet huuzwa 100,000 na kuendelea
2. Vifaa wezeshi ambavyo vitaweza kuwapa huduma mtu mmoja mmoja baada ya kupata internet kutoka kwa local provider bahati nzuri hivi vifaa sio ghali sana kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja japo kwa hapa Tanzania vifaa huuzwa kati ya 60,000 up to 90,000 per person
3.Masoko ya utoaji wa hii huduma, habari njema nikuwa masoko yapo mengi sana kiasi ya kwamba hii ni fursa pana yenye faida endelevu kuliko biashara nyingi mtaani unaweza kurudisha ghamaza za investment yako hata ya milioni 500 kwa muda wa miez 4 au 5 tu
NAMNA FAIDA ITAKAVOPATIKANA NA KUONA UWEZEKANO WA KURUDISHA GHARAMA ZA UWEKEZAJI WAKO KWA MUDA USIOZIDI MIEZI 5
Mchanganuo kwa yule mwenye mtaji wa 20Milioni tuone tunairudisha kwa muda upi.
Kama nilivyoeleza awali 20mbps huuzwa kwa 100,000 na pia 20mbs inauwezo wa kuhudumia hata watu 10 kwa matumizi ya internet ya kawaida ambayo ni unlimited kwahiyo nisawa na kusema
20mbps = 10 users (watumiaji )
400mbps = 200 users (watumiaji )
Naimani tunaelewana kidogo
20mbps = 100,000
400mbps = 2,000,000
1 user = 90,000 installation cost+ device
200 user = 18,000,000 device + installation cost
kwaiyo :
400mbps = 2,000,000
200 users = 18,000,000
TOTAL : 20,000,000 Capital
MCHANGANUO WA FAIDA
Kama mtumiaji mmoja utaamua kumchaji 1,000 kwa siku kupata huduma ya Unlimited internet inamaana kwa watumiaji 200 kwa siku utakusanya 200,000 na ukizidisha kwa siku 30 yaani mwezi utakusanya 6,000,000/=
Sasa 6,000,000 - 2,000,000 (gharama ya 400mbps kwa mwezi) = 4,000,000
Kwaiyo monthly unapata net profit ya 4,000,000/=
Ukiizidisha kwa miezi 5 yaani
4,000,000 × 5 = 20,000,000
Kwa lugha nyepesi miezi 5 inarudisha gharama za investment na kuanzia mwezi wa 6 nakuendelea unakula faida hata miaka 3 hata 10
Na hii miezi imefika sita kutokana na users device kwa hapa tanzania zinauzwa ghali ila kama utaagiza miezi ya kurudisha mtaji inafika 3
Kwa hizi details inatosha kwa yule mwenye nia ya uwekezaji
Hivo basi kama umtaji huo au zaidi ya huo nakukatibisha tuweze kufanya hii biashara na hata kabla ya kuwekeza hiyo pesa unaweza ukaanzajaribio kwa 1,000,000 ukaona malipo na inavyofanyiks kisha ukaingia kwenyr investment
Napatikana Dar es Salaam ila hii biashara inaweza kuekezwa popote tanzania kwenye eneo linalopatikana network ya 4G na hata 5G
Kwa mtu serious na unapatikana Dar es salaam tunaweza kuonana na ku discuss in more details na tukaona tunalifanikishaje hili
Pia kwa maswali nakaribisha mwenye swali kuhusiana na Idea hii
Mawasiliano : 0710020066 call & WhatsApp
Wazo zuri nataka nitest kwanza kwa kuanza na 1MHabari ya uzima wanajanvi?

Huduma ni pre paid hivo mteja analipa kisha anapata huduma asipolipa anakuwa disconnected kupitia system kwaio hapatiMkuu
Una maono mazuri sana ya fursa ubarikiwe sana kwa kushare nasi hizi fursa
Naomba kuuliza swali hapa ikiwa nime funga kifaa hicho kwa mteja endapo hajalipia au ana sua sua naweza ku-control hicho kifaa kikiwa kwake na maanisha kukizima au kupunguza speed au kutuma ujumbe wa kulipia kwenye simu yake?
Kila biashara ina risk namna pekee yw kupunguza risk nikujua unafanya biashara na mtu wa aina gani huduma hii inamfaa kila mmoja ila sio kila mmoja anastahiliWazo zuri nataka nitest kwanza kwa kuanza na 1M
vipi kuhusu kupotea vifaa (90k each) bila shaka vinafungwa kwa mteja akisepa navyo??
Limitation au range ya network ikoje?
Soon bosskwann mkuu usifungue kampuni iwe kwa share!!
Mi ningenunua hata 20% share kuweka hela yote hiyo kwa pilot ni risk
Ni wazo zuri sana na linatekelezeka.Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers tulionao hapa nchini kama Tigo, Vodacom na wengineo
Kutokana na utandawazi na maendeleo ya kasi katika karne hii matumizi ya huduma za internet yamekuwa makubwa kadiri siku zinavoongezeka hivo kufanya uhitaji (DEMAND) wa huduma hii kuwa mkubwa zaidi ila kwa bahati mbaya kwa nchi zetu hasa barani africa miundombinu ya kupata huduma
hii sio rafiki sana
WAZO LANGU SASA
Kwasasa upatikanaji wa huduma ya UNLIMITED INTERNET sio kubwa sana hapa nchini na hata hiyo kidogo inayopatikana imekuwa ghali kidogo ukilinganisha na kipato cha wengi wetu mfano (20Mbps inauzwa kwa Tsh, 100,000/=) hapo ukiachana na gharama za installation ya miundombinu ili upate huduma katika eneo lako
Sasa basi kwa kuliona hili nikawaza kwanini tusiweze kusambaza huduma hii kwa wale ambao wataweza kulipia huduma hii kwa siku na wakapata walau huduma ya Unlimited internet ambayo inaweza kumsaidia kwa shuli ndogo ndogo za hapa na pale kama kuperuzi mitandaoni,ufanyaji biashara online na kuwasaidia kupunguza gharama kubwa za bando tulizonazo mtaani kutoka kwa local providers Mfano GB 1 kwasasa ni 2100 au GB 35 kwa mwezi ni 50,000 sasa ukiangalia mtu huyu anatumia gharama kubwa sana pengine zisiweze kukidhi mahitaji yake kwa mwezi mzima.
MKAKATI ULIOPO
Kununua Unlimited internet kwa local providers tulionao hapa nchini iwe fiber net au wireless net na kisha kuisambaza kwa watu ambao hawana uwezo wa kumiliki hiyo huduma na kuwawezesha kulipia hiyo huduma kwa siku MFANO kununua 20Mbps kwa local providers na kuiuza kwa watumiaji wa chini walau kwa 10 user per 20 mbps hii itasaidia kuokoa gharama za watu wengi Imagine unapata kutumia unlimited internet kwa buku tu siku nzima nyumbani kwako imekaa poa eeeeeh? Sasa hii ndio idea yenyewe
Kufanikisha haya yote nilikuja kugundua sio wazo pekee na idea inaeeza kutekeleza hili bali pia na mtaji hasa wa baadhi ya vifaa wezeshi unaweza kufanya hili jambo kutekelezeka kiurahisi kabisa
MUWEKEZAJI
Kwakuwa hii huduma inahitaji uwekezaji pia basi niliona ku share hili wazo kwa wewe ambae unamtaji na hujafahamu niwapi hasa ungeweza kuwekeza na kupata faida za uwekezaji wako, nikutoe shaka na nikukaribishe kuwekeza kwenye hili wazo kwakuwa mimi pia ninaufahamu mzuri wa hii huduma lakini pia ni muajiriwa ambae nahusika na usambazaji wa hii huduma ya Dedicated and shared Internet kutoka local providers hapa nchini
MCHANGANUO WA UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA AU WAZO HILI
1. Kwanza kabisa lazima tuwe na mtaji wa kununua Unlimited package kutoka kwa local providers ambapo vifurushi vyao huuzwa kwa kuangalia kipimo cha speed ya internet kinachofahamika kama Mbps ( megabite per second )
Hichi kipimo ndio huwezesha kujua hitaji na kiwango cha uhitaji kulingana matumizi ambapo kama nilivoeleza hapo juu kwa local providers wengi 20Mbps kwa shared Internet huuzwa 100,000 na kuendelea
2. Vifaa wezeshi ambavyo vitaweza kuwapa huduma mtu mmoja mmoja baada ya kupata internet kutoka kwa local provider bahati nzuri hivi vifaa sio ghali sana kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja japo kwa hapa Tanzania vifaa huuzwa kati ya 60,000 up to 90,000 per person
3.Masoko ya utoaji wa hii huduma, habari njema nikuwa masoko yapo mengi sana kiasi ya kwamba hii ni fursa pana yenye faida endelevu kuliko biashara nyingi mtaani unaweza kurudisha ghamaza za investment yako hata ya milioni 500 kwa muda wa miez 4 au 5 tu
NAMNA FAIDA ITAKAVOPATIKANA NA KUONA UWEZEKANO WA KURUDISHA GHARAMA ZA UWEKEZAJI WAKO KWA MUDA USIOZIDI MIEZI 5
Mchanganuo kwa yule mwenye mtaji wa 20Milioni tuone tunairudisha kwa muda upi.
Kama nilivyoeleza awali 20mbps huuzwa kwa 100,000 na pia 20mbs inauwezo wa kuhudumia hata watu 10 kwa matumizi ya internet ya kawaida ambayo ni unlimited kwahiyo nisawa na kusema
20mbps = 10 users (watumiaji )
400mbps = 200 users (watumiaji )
Naimani tunaelewana kidogo
20mbps = 100,000
400mbps = 2,000,000
1 user = 90,000 installation cost+ device
200 user = 18,000,000 device + installation cost
kwaiyo :
400mbps = 2,000,000
200 users = 18,000,000
TOTAL : 20,000,000 Capital
MCHANGANUO WA FAIDA
Kama mtumiaji mmoja utaamua kumchaji 1,000 kwa siku kupata huduma ya Unlimited internet inamaana kwa watumiaji 200 kwa siku utakusanya 200,000 na ukizidisha kwa siku 30 yaani mwezi utakusanya 6,000,000/=
Sasa 6,000,000 - 2,000,000 (gharama ya 400mbps kwa mwezi) = 4,000,000
Kwaiyo monthly unapata net profit ya 4,000,000/=
Ukiizidisha kwa miezi 5 yaani
4,000,000 × 5 = 20,000,000
Kwa lugha nyepesi miezi 5 inarudisha gharama za investment na kuanzia mwezi wa 6 nakuendelea unakula faida hata miaka 3 hata 10
Na hii miezi imefika sita kutokana na users device kwa hapa tanzania zinauzwa ghali ila kama utaagiza miezi ya kurudisha mtaji inafika 3
Kwa hizi details inatosha kwa yule mwenye nia ya uwekezaji
Hivo basi kama umtaji huo au zaidi ya huo nakukatibisha tuweze kufanya hii biashara na hata kabla ya kuwekeza hiyo pesa unaweza ukaanzajaribio kwa 1,000,000 ukaona malipo na inavyofanyiks kisha ukaingia kwenyr investment
Napatikana Dar es Salaam ila hii biashara inaweza kuekezwa popote tanzania kwenye eneo linalopatikana network ya 4G na hata 5G
Kwa mtu serious na unapatikana Dar es salaam tunaweza kuonana na ku discuss in more details na tukaona tunalifanikishaje hili
Pia kwa maswali nakaribisha mwenye swali kuhusiana na Idea hii
Mawasiliano : 0710020066 call & WhatsApp
Asanteh mkuu hii imezingatiwa na hili tulilenga watumiaji wa kawaida kwa heavy duty tunachofanya ni kuongeza Mbps tu hivo itatolewa kulingana na matumizi halisi ila kiufupi tumelenga ndugu zetu wenye matumizi ya kuperuzi kawaidaONYO LA KWANZA: Ukivuka matumizi ya GB 1000 speed inashuka inakuwa kama kobe mpaka mwezi ujao ukilipia tena
ONYO LA PILI ::: 20 Mbps inaweza kuwa ndogo sana kwa watu 10,
1 Mbps = 0.125 MBps
Mbps (Megabits per second / Megabits kwa sekunde)
kipimo cha speed ya internet kwa wanaotoa huduma ya internet mfano voda.
MBps - (Megabytes per second / Megabytes kwa sekunde)
kipimo chetu watumiaji, zingatia herufi kubwa MB, huwa tunaweza kuiona tunapo download mafaili,
mfano ukitaka kudownload faili kwenye kifurushi cha 20 Mbps, ni kwamba utaweza kushusha MB 2.5 kwa sekunde ila kibongonongo ni MB 2 kwaa sekunde sababu network hazipo stable.
ukiunga watu 10 hapa kila mtu anaweza pata speed ya 0.2 MB kwa sekunde, inafaa kwa wanaochati na kucheki picha ila kwa wale wa insta, tiktok, youtube, n.k. ni ndogo.
ONYO LA TATU: Nunua router inayo control speed limit kwa kila kifaa, watu wanaodownload wananyonya sana speed kiasi wengine hawawezi kuperuzi net.
ni biashara niliyowahi kuwa msaidizi miaka ya 2003 hadi 2005, enzi hizo za ttcl internet cafes zimejaa kinoma, pesa ipo watu wanapenda sana netAsanteh mkuu hii imezingatiwa na hili tulilenga watumiaji wa kawaida kwa heavy duty tunachofanya ni kuongeza Mbps tu hivo itatolewa kulingana na matumizi halisi ila kiufupi tumelenga ndugu zetu wenye matumizi ya kuperuzi kawaida
Karibu kwenye gemu mkuuni biashara niliyowahi kuwa msaidizi miaka ya 2003 hadi 2005, enzi hizo za ttcl internet cafes zimejaa kinoma, pesa ipo watu wanapenda sana net
nikitaka kurudi hii biashara ntawekeza kwenye router zaidi, sio hizi za kawaida tunazopewa, yani kila mtu aenjoy kwa budget, router za kawaida sio nzuri kwa biashara.
namna ya kuzuia, una limit number ya user wa internet.Yes iko namna tayari ya kuzuia na ku monitor