Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

Veepe security? Mtu akilipia na muda wake umeisha unawezaje kumtoa bila kuhadhili wengine kwenye huduma? Utakuwa unawaunga vipi hao individuals?
 
Yes mkuu uko sahihi
Mkuu Mwaka huu Nili chora plan nzuri sana kuhusu internet ya style hii.

Na nili ona vision kubwa katika kufanikisha Hilo, na hata kufatilia data fulani za ndani.

Nika ongea na mkubwa Tresor Mandala, sijui hata tuli ishia wapi, maybe akili yangu ilikuwa ahead Sana.

Last nime furahi kuona mtu, Aki fikiri na kuona, nilicho kiona(stay blessed 🙏).
 
Kwa kuwa wewe unanunua hii huduma kwa ISP - inamaana ni subscriber wao na taarifa zako wanazo..!

Hao wateja wako utako kuwa unawaconnect

Wakifanya mambo ya hovyo mtandaoni tcra watakudaka wewe .. maana wanapata internet/ access point kutoka kwenye device zako ulizozisajili!

Na ndio maana TCRA kipindi cha magu walipitisha sheria ya kufunga CAMera kwenye internet cafe ili kuwadaaka wanaofanya uhalifu mtandaoni…!

Sidhani hii ishu ni legal hata kwa mitandao ya simu..
ni sawa na ujinge Dstv/zuku/azam kisha na wewe usambaze waya kitaani kwa wengine that’s illegal!!
 
Mzee una select customer wako kiumakini, kingine una ongea na hao local internet providers.

Jinsi ya wewe USI dhurike na makosa ya hao third party.
 
Imekaa vzr sana
 
Ntarejea
 
Huduma ni pre paid hivo mteja analipa kisha anapata huduma asipolipa anakuwa disconnected kupitia system kwaio hapati

Mkuu naomba kuuliza kuhusu hivo vifaa router na switch zimerahisishwa kimatumizi au hadi wataalamu,, maana configuration ya router sio kila mtu ataweza naomba elimu kdg kuhusu hivi vifaa na jinsi ya ku-control users hadi expert??
 
Sema wewe ,Kuna mtu juzi alileta wazo hili nikamwambia,hakusikia,wewe umeuziwa huduma,hujapewa haki ya kuuza.. Hermanx
 
Natumia Vodacom supa Kasi, mzee nahisi tuna vuka hata hizo gb 1000 kwa wiki.
Na speed iko vile vile.
 
Kununua unlimited internet halafu ukaisambaza hata kwa mtaa ujue watakutia nyuma ya nondo. Unless uwe na vibali. Umesahau wale jamaa wamewakamata mwaka jana?
 
Wazo zuri sana,lakini nahisi gharama za kufanya hivyo ni kubwa zaidi ya ulichokiorodhesha hapa,maana Kuna mambo mengi ambayo hujayaandika hapa. ila wazo liko vizuri.
 
Ni kweli kabisa uzuri wa hii nikwamba hakuna wakushindana nae kwakuwa hao washindani ndio watoa hiyo huduma hivo kuna angle tu huyu anakula hapa na huyu anakula hapa mana kumbukumba Unlimited internet packages nitakuwa nachukua kwao pia
Hili wazo wanaweza liiba wakalitekeleza wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…