Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Fafanua nielewe..!!Binafsi kila jambo nafanya kwa mfumo wa nyota..
Nyota ndo hiyo miezi 12 mliyowekewa
Sema ukweli wa mambo ulivo na watu wanavoyasema ni tofauti kabisa.
Ni elimu pana sana inayohitaji miaka kadhaa kuimaster sasa mtu anagoogle usiku mmoja kesho anawatafsiria watu nyota eti...
Ww n fala 😂Fafanua nielewe..!!
Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..
Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!
Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”
Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!
Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
Mwenyewe 😹😹Ww n fala 😂
Wajuzi wa nyota watatujuzaNi muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃
Imefikia hatua hata katika masuala ya kutafuta wenza wanaangalia nyota,kwenye masuala ya kazi,ajira,biashara nk.
Mfano mwenye nyota ya asili ya maji,unaambiwa upo compatible na unaendana mwenye nyota Fulani yenye asili ya maji au nyota Fulani yenye asili ya udongo nk
Mwenye nyota asili ya hewa unanendana na nyota Fulani -nyota Fulani na Fulani mkioana hamtisha kuelewana uwezekano wa mahusiano kudumu ni mdogo
-kwenye masuala ya kazi na biashara pia wanaaplly asili ya nyota mfano moto,udongo,hewa,maji nk.
Kazi ama biashara inayofanya iwe inaendana na asili yako ndipo utaona mafaanikio
Kuna baadhi ya watu wanaamini ni kweli na Kuna baadhi wanaamini ni ushirikina.
Je Kwa upande wako unafuatilia masuala yahusuyo nyota?
Tabiri zake
Elimu yake Kwa ujumla?
Je ni kweli ama utapeli?
Toa Maoni yako
Basi itakuwa wewe ni mweupe na una makebo makubwa ndio maana unavutia umati.Fafanua nielewe..!!
Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..
Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!
Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”
Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!
Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
Siamini , sijawahi na sitowahi In Shaa AllaahNi muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃
Imefikia hatua hata katika masuala ya kutafuta wenza wanaangalia nyota,kwenye masuala ya kazi,ajira,biashara nk.
Mfano mwenye nyota ya asili ya maji,unaambiwa upo compatible na unaendana mwenye nyota Fulani yenye asili ya maji au nyota Fulani yenye asili ya udongo nk
Mwenye nyota asili ya hewa unanendana na nyota Fulani -nyota Fulani na Fulani mkioana hamtisha kuelewana uwezekano wa mahusiano kudumu ni mdogo
-kwenye masuala ya kazi na biashara pia wanaaplly asili ya nyota mfano moto,udongo,hewa,maji nk.
Kazi ama biashara inayofanya iwe inaendana na asili yako ndipo utaona mafaanikio
Kuna baadhi ya watu wanaamini ni kweli na Kuna baadhi wanaamini ni ushirikina.
Je Kwa upande wako unafuatilia masuala yahusuyo nyota?
Tabiri zake
Elimu yake Kwa ujumla?
Je ni kweli ama utapeli?
Toa Maoni yako
😄 Na wale misikitini je?Binafsi kila jambo nafanya kwa mfumo wa nyota..
Nyota ndo hiyo miezi 12 mliyowekewa
Sema ukweli wa mambo ulivo na watu wanavoyasema ni tofauti kabisa.
Ni elimu pana sana inayohitaji miaka kadhaa kuimaster sasa mtu anagoogle usiku mmoja kesho anawatafsiria watu nyota eti...
Fanya hivi mkuu Ili kuthibitisha. Siku nyingine ukiingia (asubuhi)dukani halafu wateja wakijaa wewe usiondoke hadi jioni, wateja nao wasipoondoka basi kweli wewe una nyota.Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!
Mbona kama Kuna baadhi wanasema ukweli?Siamini naona watu TikTok wanatafuta pesa kwa watu waliojikatia tamaa..!!
Umeanza lini kukosa adabu na dada zako? 😥Basi itakuwa wewe ni mweupe na una makebo makubwa ndio maana unavutia umati.
Siwezi kuwakatalia kila mmoja na imani yake..!!Mbona kama Kuna baadhi wanasema ukweli?
Wateja wanaingia kununua bidhaa na kutoka..!!Fanya hivi mkuu Ili kuthibitisha. Siku nyingine ukiingia (asubuhi)dukani halafu wateja wakijaa wewe usiondoke hadi jioni, wateja nao wasipoondoka basi kweli wewe una nyota.
Wenzio wameamka hukoHayo mambo ya nyota yote ni ya uwongo. Hakuna cha nyota, utapeli tu!
Labda kama mnazungumzia hizi nyota za angani.
Porojo ni nyingi sana we elewa hivo tu😄 Na wale misikitini je?
Hapo kweli una nyota. Kuwa makini mafidadi wasikuibie.Wateja wanaingia kununua bidhaa na kutoka..!!
Kifupi duka linakua busy…
Simaanishi wateja wanakuja wanaganda.
Au umeshindwa kunielewa?