min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
HHhahhhaah haya majinga ya mbogamboga siyaamini kabisaOhhh!! Unaweza kututabiria kitakachotokea hukumu ya Lissu?
HHhahhhaah haya majinga ya mbogamboga siyaamini kabisaOhhh!! Unaweza kututabiria kitakachotokea hukumu ya Lissu?
Sasa kuna hiyo nyingine kali, unakuta kuna hela mteja kadondosha na harudi kuuliza kama amedondosha pesa..!!nyota
Itabidi nikualike dukani siku moja maana naona miezi hii simu hazitoki aisee...Natamani kukusimulia zaidi, dah!
Kuna ukweli kwenye hayo usemayo..!!
Mwingine aliwahi kuniambia, dada una nyota kali usiichafue kwa kulala na wanaume hovyo wataichukua nyota yako..!!
Kuna rafiki yangu nilizinguana naye, alinitafuta kuniomba msamaha lakini mi nikagoma katukatu niliona kama napoteza muda kuwa na urafiki na mtu kila siku ana tabia za kunihudhi..!! Nikawa namkwepa.
Kuna siku alikuja akaamua anifungukie, eti mambo yake hayaendi akiwa mbali na mimi..!! Nikajua anamaanisha ile support ninayompa ya kifedha. Kumbe alikua anamaanisha kuna energy anavuna kutoka kwangu pindi anapokuwa karibu na mimi..!!
Yupo na mwingine naye hivyo hivyo aliwahi kuniambia, kuna muda nawakwepa najua watakua na imani za kishirikina na mimi na hivyo vitu tofauti..!!
Utabiri umekua mgumu? 😹HHhahhhaah haya majinga ya mbogamboga siyaamini kabisa
Mkuu usimwamshe mtu mweusi.Nyota ni numbers na numbers hazidanganyi
I believe in numbers - Donald Trump
Naamini 100 % maneno ya mange kuwa connection ya mwigu ni mipango na cdm wametumika kipumbavu sana.Utabiri umekua mgumu? 😹
😹😹😹 Umesema natakiwa nirogwe sasa kuja dukani kwako si kuchezea sharubu za simba..!!Itabidi nikualike dukani siku moja maana naona miezi hii simu hazitoki aisee...
Bytheway;
Usile njiani ovyo.
Usilale gest ovyo bora ukalala hotel
Hakikisha mwili wako haugusani na miili ya watu ovyo.
Usifanye mapenzi na kapuku.
Usivae nguo za zamani yaani mitumba hii inawaachafua sana watu hawajui tu..
Mengine utajiongeza ushakuwa mtu mzima.
Mipango huku mtu kachafuka?Naamini 100 % maneno ya mange kuwa connection ya mwigu ni mipango na cdm wametumika kipumbavu sana.
Noo naona mwigu ni kondoo tuMipango huku mtu kachafuka?
Unahisi Mwigulu yeye alikua anajua hadi akakubali atumike ili kuwapoteza Chadema?
Najua unaniona kama ......... yakoFafanua nielewe..!!
Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..
Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!
Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”
Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!
Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
😆😆😆 akili yako eti kuchezea sharubu za Simba..😹😹😹 Umesema natakiwa nirogwe sasa kuja dukani kwako si kuchezea sharubu za simba..!!
Kuhusu kula njiani hovyo sipendi, ni bora nikabeba chakula nikakaa nacho ndani ya gari nile nikimaliza niendelee na safari zangu..!!
Huko gesti sijawahi, mi hata tabia ya kulala majumba ya watu hovyo sio vitu vyangu..!!
Hata msiba kama sio wa kwetu, kama msibani kumejaa basi nita tafuta hotel nikalale..!!
Kugusana na wanaume hovyo 10/10 hiyo sijisifii ndo tabia yangu halisi..
😹😹😹 Mapenzi na kapuku
Mitumba nilisahau kitambo sana nikiwa mdogo… siku hizi wachina wametoa bei cheap, hivyo siwezi kuvaa nguo second hand..!! (Huwa nawaza aliyevaa huenda alikufa kwa magonjwa ya kuambukiza)
umebarikiwaFafanua nielewe..!!
Ngoja nikueleze kitu kuhusu mimi..
Iko hivi, mimi naweza nikaingia duka la mtu halina mteja hata mmoja. Lakini Kitendo cha kuingia basi wateja wanajaa ghafla.
Nikiondoka nao wanaondoka..!!
Kuna siku nilikua stereo nilipofika meza ya dagaa ajabu wakaongezeka wateja wengine wengi.
Nilipoondoka nao wakaondoka..
Yule mmama muuza dagaa akaniambia “Una nyota kali”
Na sio sehemu moja ni nyingi, hiyo ni mifano tu.!!
Unaweza kuniambia hiyo ni sehemu ya nyota?
we kiboko ,zote hizo duhSasa kuna hiyo nyingine kali, unakuta kuna hela mteja kadondosha na harudi kuuliza kama amedondosha pesa..!!
Hapo wnamtafutia zengwe ajiuzuru, kila mtego wameona anachomoa..!!Noo naona mwigu ni kondoo tu
😹😹😹 Huwezi kunijua..!!😆😆😆 akili yako eti kuchezea sharubu za Simba..
Binafsi niko vizuri sitegemei kumtumia mtu ila ningekuwa hovyo hovyo ningewatumia wengi sanaa..
Kama kanuni hizo unazifata kulogwa utakusikia tu..
Japo akili yangu imecheza kidogo kama unatokea njia ya kitonga huenda nakujua🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Simu yangu ina whatsapp na jamii forum sasa eti kukujulia kwa mitandao hapana sivo,😹😹😹 Huwezi kunijua..!!
Mi sio mtu wa mitandao sana, hata account zangu nimeweka private..!!
Account zangu za biashara sipost picha zangu ni bidhaa tu..!
😹😹😹umebarikiwa
we kiboko ,zote hizo duh
Kkoo tuko wengi lakini..!! 😹Simu yangu ina whatsapp na jamii forum sasa eti kukujulia kwa mitandao hapana sivo,
Bali katika mizunguko yangu tu nimekufananisha na Bibie wa njia hiyo ambaye nishamuona sana..
NITAKUFATILIA😅
Baaaaasi hatimaye umejileta...Kkoo tuko wengi lakini..!! 😹