Je unaamini katika mambo ya nyota(zodiac signs)?

Itabidi nikualike dukani siku moja maana naona miezi hii simu hazitoki aisee...
Bytheway;
Usile njiani ovyo.
Usilale gest ovyo bora ukalala hotel
Hakikisha mwili wako haugusani na miili ya watu ovyo.
Usifanye mapenzi na kapuku.
Usivae nguo za zamani yaani mitumba hii inawaachafua sana watu hawajui tu..
Mengine utajiongeza ushakuwa mtu mzima.
 
😹😹😹 Umesema natakiwa nirogwe sasa kuja dukani kwako si kuchezea sharubu za simba..!!

Kuhusu kula njiani hovyo sipendi, ni bora nikabeba chakula nikakaa nacho ndani ya gari nile nikimaliza niendelee na safari zangu..!!

Huko gesti sijawahi, mi hata tabia ya kulala majumba ya watu hovyo sio vitu vyangu..!!
Hata msiba kama sio wa kwetu, kama msibani kumejaa basi nita tafuta hotel nikalale..!!

Kugusana na wanaume hovyo 10/10 hiyo sijisifii ndo tabia yangu halisi..

😹😹😹 Mapenzi na kapuku

Mitumba nilisahau kitambo sana nikiwa mdogo… siku hizi wachina wametoa bei cheap, hivyo siwezi kuvaa nguo second hand..!! (Huwa nawaza aliyevaa huenda alikufa kwa magonjwa ya kuambukiza)
 
Najua unaniona kama ......... yako
 
😆😆😆 akili yako eti kuchezea sharubu za Simba..
Binafsi niko vizuri sitegemei kumtumia mtu ila ningekuwa hovyo hovyo ningewatumia wengi sanaa..

Kama kanuni hizo unazifata kulogwa utakusikia tu..
Japo akili yangu imecheza kidogo kama unatokea njia ya kitonga huenda nakujua🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
umebarikiwa
Sasa kuna hiyo nyingine kali, unakuta kuna hela mteja kadondosha na harudi kuuliza kama amedondosha pesa..!!
we kiboko ,zote hizo duh
 
😹😹😹 Huwezi kunijua..!!
Mi sio mtu wa mitandao sana, hata account zangu nimeweka private..!!

Account zangu za biashara sipost picha zangu ni bidhaa tu..!
 
😹😹😹 Huwezi kunijua..!!
Mi sio mtu wa mitandao sana, hata account zangu nimeweka private..!!

Account zangu za biashara sipost picha zangu ni bidhaa tu..!
Simu yangu ina whatsapp na jamii forum sasa eti kukujulia kwa mitandao hapana sivo,
Bali katika mizunguko yangu tu nimekufananisha na Bibie wa njia hiyo ambaye nishamuona sana..
NITAKUFATILIA😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…