Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Siamin imani za kishirikina

Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
 
Kule Sumbawanga kuna wazee wanahamisha nyumba za wenzao kishirikina..yaani unaamka asubuhi uko sehemu tofauti lakini nyumba ileile..hii sio chai,its true..
Nasikia wamemfanyia hiyo Magufuli Ikulu mpaka anataka kuhamia Dodoma.

Ila mimi siamini uchawi. Inawezekana ni sayansi isiyojulikana tu.

Nikupe mfano.

Ukimchukua mtu wa miaka ya 1600 huko, ukamuonyesha jinsi ndege inavyopaa, jinsi mawasiliano ya internet na redio yanavyofanya kazi,etc, halafu ukamwambia huu uchawi, most probably atakubali ni uchawi.

Kwa sababu kwake ni vitu vya ajabu.

Kumbe ni vitu vinavyoweza kuelezeka naturally tu,huhitaji supernatural powers kuvielezea.

Kuna muandishimmoja nampenda sana wa science fiction, anaitwa Arthur C. Clarke, alisema "Any sufficiently advanced technology is indistiguishable from magic".

Teknolojia yoyote iliyoendelea sana haitofautiani na uchawi.

Sasa mtajuaje mnachoita uchawi ni uchawi (i.e, supernatural powers) au ni kitu kinachotumia sayansi na teknolojia ambayo hamjajijua tu (i.e natural powers but unknown at the time) ?

How do you tell the difference?

Wale mababu zetu walioona wazungu wanajua kutabiri kupatwa kwa jua waliwaona wazungu wachawi (ndiyomaana wakawaita wazungu,wazungu maana yake ni miungu - ukichukua mzungu ukatoa z unapata mungu -).

Sasa tutajuaje kwamba tunachofikiri ni uchawi si sayansi tofauti tu ambayo hatujaijua?

If at all the suspicion is authentic.
 
Uchawi upo kwani ile fimbo ya Mussa ilipokuwa nyoka unakumbuka
 
Ilitokea magu nyuma kidogo,walikodishana fisi kwa safari zao za kawaida,jamaa kurud akapita pabaya fisi akadedi,weeee kesi ilikua gumzo walipelekana mpaka mahakaman

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sasa mahakama itaamua nini na haiamini uchawi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uchawi upo kuna mtu alikufa naakazikwa chakustajabisha baada ya miaka kama minne akaja kuonekana mzima kabisa nakifo chake kilitokana na kugongwa na gari kichwa kikapasuka kabisa ilikuwa mwaka 95 sitakaa nisahau uchawi upo aisee

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu limetokana na neno kuzunguka na si mungu
 
Basi lilisimama na kushindwa kuendelea na safari kwasababu ya kesi au tukio lenyewe? Maana inaelekea nasi lilikaa hapo muda mrefu sana. Kama mlizuliwa na tukio, ulifahamuje kuhusu mahakamani nk? Na kama mlizuiliwa na kesi, je hiyo mahakama iko barabarani na kulikuwa na ugomvi ulisababisha basi likapaki na nyie mpige soga mahakamani?
 
Kwa hiyo Bus likasimamishwa ili ufanye udadisi... Mkasubiria kesi imeenda mahakaman n.k hapo mliposimama kwa nini watu walikuwa wamejaa?

 
Aisee.... Nami nmeuliza maswal hayo. Jamaa anataka kutupiga fix au kutufunga kamba.

 
Mkuu mtu kudai nyoka hadi wanafikishana katika vyombo vya sheria we unadhani ni hali ya kawaida

critical thinker
 
Wazungu limetokana na neno kuzunguka na si mungu

Katika baadhi ya lugha za kibantu mpaka leo, mzungu, mulungu,mlungu, muungu, mungo ni majina ya Mungu.

Aliyeanza kusema kwamba wazungu wamepewa jina hilo kwa sababu wanazunguka ni Kenyatta, an African nationalist who neither knew Swahili very well, nor had any interest in elevating whites.

Hata kwa watu wanaojua Kiswahili cha ndani, Kiswahili ambacho hakizungumzwi sana leo, mizungu ni viumbe au vitendo fulani hivi kama vya malaika ambao ama wapo karibu sana na Mungu (Mungu wa tamaduni zetu,sio wa ukristo/uislamu) au ni miungu katika ulimwengu wa miungu wengi.

Mizungu ni vitendo au viumbe vyenye supernatural powers kamauchawi,deception, trickery hivi. Na hapa ndipo lilipozaliwa neno mzungu, si kuzunguka.

Ukitaka angaliahapa neno "mizungu" maana yake, wamelihusisha neno "mizungu" na watu wenye nguvu za kichawi.

What is the meaning of the Swahili word mizungu?

mizungu - Swahili-English Dictionary

Mizungu in English, translation, Swahili-English Dictionary
 
Nadhani unajaribu kubisha kitu ambacho hukijui tembea utaona a really world sio unajifungia ndani tu

critical thinker
 
Nadhani unajaribu kubisha kitu ambacho hukijui tembea utaona a really world sio unajifungia ndani tu

critical thinker
Kitu gani ambacho sikijui ninachobisha? Na unajuaje kwamba sikijui?

Critical thinker anatakiwa ajue kujieleza asiache vitu vinaelea hewani.
 
Mkuu mtu kudai nyoka hadi wanafikishana katika vyombo vya sheria we unadhani ni hali ya kawaida

critical thinker
kwa haraka,unaweza ukadhani si hali ya kawaida lakini.ukikaa kwa umakini zaidi unaweza kuta katika hali ya kawaida huyo nyoka anatumika vp au anafanya nini? ndo hapo ngumu kuamini kwamba hayo yanasemwa yanatendeka kweli,au ni imani tu alonayo huyo mzee na wanakijiji pia.kwa upande wang nashindwa hapo kuamini iko kitu.
 
Mpakasasa najaribu kuona kanuni gani ya Chemistry, Physics, Biology, Mathematics etc imevunjwa.

Sijaona bado.Hata kamayote yaliyosemwa yametokea kweli.

Inaonekana kinachoshangaza sana hapa ni mtu kuwa karibu na nyokana kumtumia nyokakatikakazi zake.

Nishaeleza hapa Wasukuma tunacheza nao nyoka ngomampaka kesho, nashangaa watu kuwa karibu na nyoka kinachoshangaza ni kipi?

Mimi nilifikiri nitaambiwa mtu kavunja second law of thermodynamics,aukarudisha nyuma muda, au kateleport kijiji kizima within a second!

Kumbe imani tu za watu?
 
Hapana mkuu basi lilisimama kwa kuwa watu wengi walikuwa barabarani lakini kwa mtu unayetaka kufahamu zaidi unafanya udadisi na Mimi nilikuwa mmoja ya waliofanya udadisi ili kufahamu mkasa mzima

critical thinker
 
Kitu gani ambacho sikijui ninachobisha? Na unajuaje kwamba sikijui?

Critical thinker anatakiwa ajue kujieleza asiache vitu vinaelea hewani.
Lazima ufunguwe akili ili kufahamu/kujuwa elimu mbalimbali zinazotuzunguka kabla ya kuja kwa wazungu wazee wetu walikuwa na sayansi yao ambayo Leo hii ndo inaitwa uchawi.We unavyodhani watu wanaweza kuzungumza tu for all these years kitu ambacho hakipo?

critical thinker
 
nadhani,suala limebase upande wa imani au jinsi watu wanavyoamini au kwamba wana namna nyingine ya kubadili kazi na matumiz ya nyoka,sasa mwenyew najiuliza inawezekana vp au huo uchawi unafanywa vp?
 
nadhani,suala limebase upande wa imani au jinsi watu wanavyoamini au kwamba wana namna nyingine ya kubadili kazi na matumiz ya nyoka,sasa mwenyew najiuliza inawezekana vp au huo uchawi unafanywa vp?
Hayo ndo maswali ambayo hata Mimi nilikuwa najiuliza,hivi inakuwaje mtu anadai nyoka kiumbe ambacho ni hatari kwa binadamu

critical thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…