Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Lazima ufunguwe akili ili kufahamu/kujuwa elimu mbalimbali zinazotuzunguka kabla ya kuja kwa wazungu wazee wetu walikuwa na sayansi yao ambayo Leo hii ndo inaitwa uchawi.We unavyodhani watu wanaweza kuzungumza tu for all these years kitu ambacho hakipo?

critical thinker
Ukimaliza kuiita uchawi ndiyounakuwa umefunga akili.

Mtu anayejiridhisha kuwa hiki ni kitu A bila ya ushahidi ndiye anayefunga akili.

Anayefungua akili anataka uchunguzi zaidi.

Haitoshi tu kusema uchawi ni elimu tuliyokuwa nayo kabla ya wazungu kuja, hilo mbona hata mimi nimelisema hapo juu? Hujanisoma?

Bali, hilo halijajibu swali lingine.

Huu uchawi unatumiakanuni hizi hizi za sayansi zinazojulikana lna wazungu leo ambazo wazungu hawajazijua na kuzirekodi katika sayansi, au ni sayansitofauti, na kama ni sayansi tofauti utofauti wake ukoje?

Ukizama katikamaswali haya unakuja kuona kusema "uchawi" tu na kuishia hapo unakuwa hujafungua akili bado.

In fact, kwa kutouliza maswali zaidi, unakuwa umefunga akili.
 
Acheni kulaghai watu,uchawi haupo bhana,kama upo tafuteni mchawi unayemwani aniloge
 
nadhani,suala limebase upande wa imani au jinsi watu wanavyoamini au kwamba wana namna nyingine ya kubadili kazi na matumiz ya nyoka,sasa mwenyew najiuliza inawezekana vp au huo uchawi unafanywa vp?
Mazee, unaaminikwamba mbwa anawezakufundishwa kurukia mpira? Au tembo anaweza kufundishwa kucheza mpira?

Kuna videos You Tube wanyama wanafundishwa kucheza michezo ya ajabu ajabu. Wengine wanafundishwa mpakakufanya hesabu.

Ukipeleka shows kamazile vijijini huko,ukawaambia watumimi nina nguvu za kichawi za kuwasiliana na wanyama, wanakuamini.

Kuna m South Africa anacheza na Simba. Watu wa vijijini wakiona zile video watasema huyu mchawi.

Bibi wa watu pengine kwao wana utamaduni wa kucheza na nyoka miaka mingi, watu wanasema mchawi.

Ukiangalia movie ya majoka kwenye giza, mtu akija kwanyuma akakugusa mguuni tu unaruka kwa kufikiri umeguswa na nyoka.

Ndicho kinachotokea kwenye jamii zetu.

Tumesimuliwa sana stories za uchawi, kikitokea kitu kidogo tu chenye mazingira yanayoweza kuelezekakwa nadharia ya uchawi,tunasema uchawi.

Akitokea kibibi ana machomekundu anatembea uchi kwa magonjwa ya akili na ana decorations za kiasili, watu wanasema mchawi, wanamuua.

Hawataki kumchunguza.

Kumbe ukimpeleka Muhimbili kwa Profesa Kilonzo akampimaakili anakwambia huyu ana severe schizophrenia au magonjwa mengine ya akili, alitakiwa kwenda therapy na kupata dawa tangu mtoto,ilakwetu hamna hayo mambo. Ugonjwa wa kilinimpakauokote makopo.
 
Mazee, unaaminikwamba mbwa anawezakufundishwa kurukia mpira? Au tembo anaweza kufundishwa kucheza mpira?

Kuna videos You Tube wanyama wanafundishwa kucheza michezo ya ajabu ajabu. Wengine wanafundishwa mpakakufanya hesabu.

Ukipeleka shows kamazile vijijini huko,ukawaambia watumimi nina nguvu za kichawi za kuwasiliana na wanyama, wanakuamini.

Kuna m South Africa anacheza na Simba. Watu wa vijijini wakiona zile video watasema huyu mchawi.

Bibi wa watu pengine kwao wana utamaduni wa kucheza na nyoka miaka mingi, watu wanasema mchawi.
Hata huku mbona watu wanacheza na simba kaka,mazingaombe hayo yapo hata huku lakini pia uchawi uko

critical thinker
 
Hata huku mbona watu wanacheza na simba kaka,mazingaombe hayo yapo hata huku lakini pia uchawi uko

critical thinker
Hujajibu swali langu.

Uchawi ni nini?

Kama huhitaji uchawi kucheza na Simba,kucheza na Simba kuna prove uchawi?
 
Ningemuuliza tu huyo bibi ana kibali cha kufuga wanyamapori hapo kwenye shamba lake mpaka ifike hatua ya yeye kufuga nyoka hapo?
 
Kuna watu wanaamini miti ni miungu yao, wanaomba kwenye miti.

Walikuwa wanaheshimu mazingira,na leo tunajua kwamba miti inasaidia kutunza mazingira na kuleta mvua.Wao waliiabudu miti na kukataza isikatwe. Wakiomba miti iwatunze. Na kwa aina fulani ya kufikiri, walikuwa sawa, kwa sababu miti ilisaidia kuwatunza.

Sasa ule uanamazingira wa asili nao utaitwa uchawi nao?
 
Hapana mkuu basi lilisimama kwa kuwa watu wengi walikuwa barabarani lakini kwa mtu unayetaka kufahamu zaidi unafanya udadisi na Mimi nilikuwa mmoja ya waliofanya udadisi ili kufahamu mkasa mzima

critical thinker
Ilikuwa siku ya kesi ama siku ya tukio lenyewe?
 
Katika baadhi ya lugha za kibantu mpaka leo, mzungu, mulungu,mlungu, muungu, mungo ni majina ya Mungu.

Aliyeanza kusema kwamba wazungu wamepewa jina hilo kwa sababu wanazunguka ni Kenyatta, an African nationalist who neither knew Swahili very well, nor had any interest in elevating whites.

Hata kwa watu wanaojua Kiswahili cha ndani, Kiswahili ambacho hakizungumzwi sana leo, mizungu ni viumbe au vitendo fulani hivi kama vya malaika ambao ama wapo karibu sana na Mungu (Mungu wa tamaduni zetu,sio wa ukristo/uislamu) au ni miungu katika ulimwengu wa miungu wengi.

Mizungu ni vitendo au viumbe vyenye supernatural powers kamauchawi,deception, trickery hivi. Na hapa ndipo lilipozaliwa neno mzungu, si kuzunguka.

Ukitaka angaliahapa neno "mizungu" maana yake, wamelihusisha neno "mizungu" na watu wenye nguvu za kichawi.

What is the meaning of the Swahili word mizungu?

mizungu - Swahili-English Dictionary

Mizungu in English, translation, Swahili-English Dictionary
the origin of the word "mzungu" - Google Search

Mkuu fuatilia tena
 
In Swahili, the word muzungu (plural, wazungu) has its root in the word for ghost or spirit, and cognates of the wordmzungu in Chichewa and murungu in Shona and other Bantu languages—have the meaning of a powerful spirit, even a god.May 27, 2011

Ndicho hiki nimekuwa nikisema tangu mwanzo.

Neno "mizungu" mpaka leo katika Kiswahili cha ndani wanaokijua lina maana ya powerful spirits, riddles, tricks etc.

Hiyo habari ya kuzunguka wameisemakina Kenyatta baadaye, watu ambao hata Kiswahili hawakijui.

Mbona nimekupa mpaka links za "mizungu" umezipita tu?

Mizungu in English, translation, Swahili-English Dictionary
 
Waziri msataafu wa News anaweza haya matukio?Yangempa tafu sana

Sent from my LG-F200S using JamiiForums mobile app
 
Uchawi upo ila wazungu walitufikirisha vibaya kuwa wachawi yaani wenye huo uchawi ni watu wabaya sana hivyo tuwachukie. Mfano ni wenyejiwa kanda yaziwa. Huwaua hata wazazi wao kwa kuwachoma moto ati ni wachawi. Mama akubebe mimba miezi 9 akuzae kwa maumivu mengi, akupe damu yake unyonye miaka 2. Leo uchukue jiwe, panga, mkuki umuue ati ni mchawi??
Nadhani wewe ni kichaa flan. Serekali iruhusu wakufunzi rasmi wawafunde watu kama hatutagundua nishati mbadala ya umeme

Jamani tuwaache wazungu, karne zilizopita wazungu walikuwa wanajua wachawi kama sisi tunavyoua Leo. Na criteria walizozitumia ni kama sisi tunazozitumia Leo.wao walikuwa wanasema Mzee mwenye macho mekundu na ambayo ana uzito mdogo below sikumbuki kana ni 50 au 60 kg which means atakuwa mwepesi kupaa na fagio waliuwawa. Uzuri wao wametengeneza mpk museums kwa ajili ya kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Tunavyovipitia Leo wao walishavipitia may be tumechelewa kimaendeleo lakini naamini tutafika haya mambo ya uchawi wa kulogana hatutayasikia tena
 
In Swahili, the word muzungu (plural, wazungu) has its root in the word for ghost or spirit, and cognates of the wordmzungu in Chichewa and murungu in Shona and other Bantu languages—have the meaning of a powerful spirit, even a god.May 27, 2011

Ndicho hiki nimekuwa nikisema tangu mwanzo.

Neno "mizungu" mpaka leo katika Kiswahili cha ndani wanaokijua lina maana ya powerful spirits, riddles, tricks etc.

Hiyo habari ya kuzunguka wameisemakina Kenyatta baadaye, watu ambao hata Kiswahili hawakijui.

Mbona nimekupa mpaka links za "mizungu" umezipita tu?

Mizungu in English, translation, Swahili-English Dictionary
Origantion unayozungumzia inaweza ikawa kweli. Lakini hiyo siyo pointi kwenye hoja yangu.

Hawakupewa hilo jina kwasababu unayoisema wewe. They were given the name for their wandering habit na si kuwa ni miungu watu. Walipewa jina hilo walipokuja east Africa
 
It is clear to seekwamba kuzunguka wangeitwa wazunguka,si wazungu.

Wazungu imetoka kwenye mizungu.

Example sentences with "mizungu", translation memory
add example
JE, VIJANA wanapenda mambo ya mizungu?
ARE teenagers really interested in the occult?

Wengine waligeukia ushirikina, mizungu, na dawa bandia ili kupata tiba.

Others turned to superstition, magic, and pseudo medicine for cures.
Vijana wengi wanapendezwa na mambo ya mizungu.

Many youths are intrigued by the occult.
Hata hivyo, Biblia inafunua kwamba roho waovu ni halisi na ndio wanaoongoza unajimu, uchawi, na mambo fulani ya mizungu.

However, the Bible reveals that the demons are real and are behind astrology, witchcraft, and some types of magic.
Gazeti moja la Ujerumani linasema hivi: “Wajerumani wengi wanageukia uchawi na mizungu ili kupata kitulizo walichokuwa wakipata makanisani, kazini, na katika familia.

A German news source says: “Increasing numbers of Germans are turning to witchcraft and the occult to provide the solace they once found in churches, jobs and family. . . .
(Mambo ya Walawi 19:26, NW) Pia tunasoma: “Asionekane kwako mtu . . . atazamaye nyakati mbaya [“afanyaye mizungu,” NW], wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo.”—Kumbukumbu la Torati 18:10, 11.

(Leviticus 19:26) We also read: “There should not be found in you . . . a practicer of magic or anyone who looks for omens or a sorcerer, or one who binds others with a spell or anyone who consults a spirit medium.”—Deuteronomy 18:10, 11.
Roho waovu wanawadanganya wanadamu wengi kupitia zoea la kuwasiliana na pepo, ambalo linatia ndani mambo kama vile mizungu, uchawi, na watu wanaowasiliana na pepo.

Demons also actively deceive mankind by means of spiritism, which can involve such things as magic spells, voodoo, and spirit mediums.
(Ona pia Mizungu; Pepo [Watu Wanaowasiliana na Pepo]; Pepo, Kuwasiliana na; Uaguzi)

(See also Divination; Magic; Mediums; Occultism; Sorcery; Spiritism)
Hata hivyo, mambo yalikuwa mabaya zaidi binti yetu mkubwa, Renee, alipovutiwa na mizungu.

Matters became more serious, however, when our older daughter, Renee, developed an interest in the occult.
Maoni ya Mungu Kuhusu Mizungu

God’s View of the Occult
Wachawi wanaofuata Wicca hufundisha kwamba madhara ya mizungu yatamrudia mtu anayeifanya mara tatu na husema kwamba jambo hilo huzuia wachawi wasitoe laana.

Wiccans teach that the effects of magic will return threefold to the person practicing it and say that this is a major deterrent to the pronouncing of curses.
Kwa mfano, kitabu kimoja juu ya dini ya Kiafrika chasema: “Imani katika kusudi na hatari za mizungu mibaya, ulozi na uchawi imekolea katika maisha ya Waafrika . . .
For example, a book about African religion states: “Belief in the function and dangers of bad magic, sorcery and witchcraft is deeply rooted in African life . . .
Nilitiwa moyo kusoma zaidi kuhusu mfano wa Waefeso waliochoma vitabu vyao vya mizungu, ingawa viligharimu vipande 50,000 vya fedha.

It really moved my heart to read more about the Bible example of those in Ephesus who burned their spiritistic books, even though they were worth 50,000 pieces of silver.
Je, Mizungu Kidogo Inafaa?

Is Some Magic Good?
Kisha kuna michezo ya wahusika-wakuu. Katika baadhi ya michezo hiyo, wachezaji hujisingizia kuwa wachawi au kufanya mambo ya mizungu.

Then there are role-playing games, some of which allow participants to take on the role of sorcerers and other occult figures.
Watoto na Mambo ya Mizungu

Children and the Occult
Ondolea mbali hirizi, talasimu, kamba “za kujikinga,” makago, vitabu vya mizungu (maajabu), na kinginecho chote kinachohusiana na mazoea ya kuwasiliana na roho.

Rid yourself of charms, amulets, “protective” strings, fetishes, magic books, and anything else connected with spiritistic practices.
(Ona pia Mizungu; Pepo, Kuwasiliana na; Shetani, Ibada ya; Uaguzi)

(See also Divination; ESP [Extrasensory Perception]; Occultism; Satanism; Spiritism; Witchcraft)
Mifano ya ile iitwayo eti mizungu yenye manufaa hutia ndani maneno ya kiuchawi ya kujikinga, kutakasa nyumba yako kutokana na nguvu zenye kudhuru zilizoachwa na wapangaji wa awali, kufanya mtu akupende, kukuza uponyaji na afya, kuzuia usipoteze kazi, na kupata fedha.

Examples of this so-called benevolent magic include spells to protect yourself, to purify your home from negative energy left behind by former tenants, to make a person fall in love with you, to promote healing and health, to prevent the loss of your job, and to acquire money.
Mistari inayotangulia yasema kwamba wengi katika Efeso wakawa waamini, na watu kadhaa waliozoea ufundi wa mizungu wakachoma vitabu vyao mbele ya watu wote.

The preceding verses relate that many in Ephesus became believers, and a number who practiced magical arts burned their books before everybody.
Wachawi wanaaminiwa kuwa na uwezo wa kuletea mtu maumivu makali na hata kifo kupitia mizungu.

Witches are credited with the power to inflict severe pain and even death by means of magic.
“Watoto wanakabili hatari ya mambo ya Kishetani na ya mizungu yaliyowekwa kwenye Internet,” chasema chama kimoja cha walimu, kwa mujibu wa gazeti la The Independent la London.

“Children are at risk from Satanic and occult material posted on the internet,” states a teacher’s union, according to The Independent newspaper of London.
Sikuzote mizungu imehusianishwa na mafumbo

Magic has always been associated with the occult
* Watu wengi wa kale na wa siku hizi huamini kwamba mizungu inayofanywa na wachawi hufanywa ili kuwadhuru wengine.

* Many people in both ancient and modern times believe that the magic practiced by witches is performed to bring harm to others.
Wanajimu na waaguzi hutegemea unajimu, matufe ya kioo, na mizungu, nao wanapendwa na wengi.

Astrologers and diviners look to horoscopes, crystal balls, and the occult, and they have a huge following.
 
Origin ya neno na origin ya wao kupewa hilo jina ni two different things.
 
Wewe wasema. Origin ya kuzunguka hai make sense kwa sababu

1. Wangeitwa "wazunguka" badala ya wazungu, ka imeenda wapi?
2. Inaonekana kutolewa na African Nationalists waliokuwa na interests ya kuwa humanize wazungu (Kenyatta)

Origin ya mizungu ina make sense kwa sababu.

1. Wazungu walikuwa watu tofauti sana waliokuja na teknolojia kubwa, hivyo rahisi kuwasema kamamiungu kwa watu wa zamani, hususan kwa kukosa namna ya kuwaelezea.
2. Wazungu na Mizungu ni maneno yaliyokaribu zaidi na "wazunguka"
3.Tamaduni zetu zimeamini sana uchawina supernatural powers, hata hapa tumeanza huko, kitu kigeni/kisichojulikana, kabla ya kuchunguzwa kujulikana vizuri, kinaitwa uchawi,hivyo wazungu walivyokuwa hawajajulikana vizuri wakapewa jina hilo la kiuchawi uchawikwamba wana nguvu za ajabu.

Naelewa kuna elements za denial kwamba babu zetu walifikiri wazungu wana uchawi au umungu, lakini ukweli ni kwamba ukiangalia habari za teknolojia waliyokuja nayo, the description makes sense in the context of that time.

Hii habari ya watu kuzungukani kutaka kusawazisha tu.
 
Jamani tuwaache wazungu, karne zilizopita wazungu walikuwa wanajua wachawi kama sisi tunavyoua Leo. Na criteria walizozitumia ni kama sisi tunazozitumia Leo.wao walikuwa wanasema Mzee mwenye macho mekundu na ambayo ana uzito mdogo below sikumbuki kana ni 50 au 60 kg which means atakuwa mwepesi kupaa na fagio waliuwawa. Uzuri wao wametengeneza mpk museums kwa ajili ya kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Tunavyovipitia Leo wao walishavipitia may be tumechelewa kimaendeleo lakini naamini tutafika haya mambo ya uchawi wa kulogana hatutayasikia tena

Ni suala la muda na elimu tu.

Wewe fikiria stories zote za kuhusu uchawi zinakuwa katika namna hii.

1. Unverifiable hearsay
2. Something that does not necessarily need to be supernatural
3. Clear cases of exaggeration that cannot stand scrutiny

Hii habari tuliyoletewa ina satisfy all three.

It is unverifiable hearsay that, even if true, does not break any established laws of nature and, on scrutiny, fails the test of logical consistency.

Sent from my Kimulimuli
 
Wewe wasema. Origin ya kuzunguka hai make sense kwa sababu

1. Wangeitwa "wazunguka" badala ya wazungu, ka imeenda wapi?
2. Inaonekana kutolewa na African Nationalists waliokuwa na interests ya kuwa humanize wazungu (Kenyatta)

Origin ya mizungu ina make sense kwa sababu.

1. Wazungu walikuwa watu tofauti sana waliokuja na teknolojia kubwa, hivyo rahisi kuwasema kamamiungu kwa watu wa zamani, hususan kwa kukosa namna ya kuwaelezea.
2. Wazungu na Mizungu ni maneno yaliyokaribu zaidi na "wazunguka"
3.Tamaduni zetu zimeamini sana uchawina supernatural powers, hata hapa tumeanza huko, kitu kigeni/kisichojulikana, kabla ya kuchunguzwa kujulikana vizuri, kinaitwa uchawi,hivyo wazungu walivyokuwa hawajajulikana vizuri wakapewa jina hilo la kiuchawi uchawikwamba wana nguvu za ajabu.

Naelewa kuna elements za denial kwamba babu zetu walifikiri wazungu wana uchawi au umungu, lakini ukweli ni kwamba ukiangalia habari za teknolojia waliyokuja nayo, the description makes sense in the context of that time.

Hii habari ya watu kuzungukani kutaka kusawazisha tu.
Nimekuwekea link inayoonyesha asili ya white people kupewa jina la wazungu. Wewe unaniletea origin ya neno "mizungu"
Niwekee link ulipotoa hiyo information kuwa wazungu walipewa hilo jina kwasababu wako kama miungu. Weka hiyo link nijisomee then nirudi hapa
 
Back
Top Bottom