It is clear to seekwamba kuzunguka wangeitwa wazunguka,si wazungu.
Wazungu imetoka kwenye mizungu.
Example sentences with "mizungu", translation memory
add example
JE, VIJANA wanapenda mambo ya mizungu?
ARE teenagers really interested in the occult?
Wengine waligeukia ushirikina, mizungu, na dawa bandia ili kupata tiba.
Others turned to superstition, magic, and pseudo medicine for cures.
Vijana wengi wanapendezwa na mambo ya mizungu.
Many youths are intrigued by the occult.
Hata hivyo, Biblia inafunua kwamba roho waovu ni halisi na ndio wanaoongoza unajimu, uchawi, na mambo fulani ya mizungu.
However, the Bible reveals that the demons are real and are behind astrology, witchcraft, and some types of magic.
Gazeti moja la Ujerumani linasema hivi: “Wajerumani wengi wanageukia uchawi na mizungu ili kupata kitulizo walichokuwa wakipata makanisani, kazini, na katika familia.
A German news source says: “Increasing numbers of Germans are turning to witchcraft and the occult to provide the solace they once found in churches, jobs and family. . . .
(Mambo ya Walawi 19:26, NW) Pia tunasoma: “Asionekane kwako mtu . . . atazamaye nyakati mbaya [“afanyaye mizungu,” NW], wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo.”—Kumbukumbu la Torati 18:10, 11.
(Leviticus 19:26) We also read: “There should not be found in you . . . a practicer of magic or anyone who looks for omens or a sorcerer, or one who binds others with a spell or anyone who consults a spirit medium.”—Deuteronomy 18:10, 11.
Roho waovu wanawadanganya wanadamu wengi kupitia zoea la kuwasiliana na pepo, ambalo linatia ndani mambo kama vile mizungu, uchawi, na watu wanaowasiliana na pepo.
Demons also actively deceive mankind by means of spiritism, which can involve such things as magic spells, voodoo, and spirit mediums.
(Ona pia Mizungu; Pepo [Watu Wanaowasiliana na Pepo]; Pepo, Kuwasiliana na; Uaguzi)
(See also Divination; Magic; Mediums; Occultism; Sorcery; Spiritism)
Hata hivyo, mambo yalikuwa mabaya zaidi binti yetu mkubwa, Renee, alipovutiwa na mizungu.
Matters became more serious, however, when our older daughter, Renee, developed an interest in the occult.
Maoni ya Mungu Kuhusu Mizungu
God’s View of the Occult
Wachawi wanaofuata Wicca hufundisha kwamba madhara ya mizungu yatamrudia mtu anayeifanya mara tatu na husema kwamba jambo hilo huzuia wachawi wasitoe laana.
Wiccans teach that the effects of magic will return threefold to the person practicing it and say that this is a major deterrent to the pronouncing of curses.
Kwa mfano, kitabu kimoja juu ya dini ya Kiafrika chasema: “Imani katika kusudi na hatari za mizungu mibaya, ulozi na uchawi imekolea katika maisha ya Waafrika . . .
For example, a book about African religion states: “Belief in the function and dangers of bad magic, sorcery and witchcraft is deeply rooted in African life . . .
Nilitiwa moyo kusoma zaidi kuhusu mfano wa Waefeso waliochoma vitabu vyao vya mizungu, ingawa viligharimu vipande 50,000 vya fedha.
It really moved my heart to read more about the Bible example of those in Ephesus who burned their spiritistic books, even though they were worth 50,000 pieces of silver.
Je, Mizungu Kidogo Inafaa?
Is Some Magic Good?
Kisha kuna michezo ya wahusika-wakuu. Katika baadhi ya michezo hiyo, wachezaji hujisingizia kuwa wachawi au kufanya mambo ya mizungu.
Then there are role-playing games, some of which allow participants to take on the role of sorcerers and other occult figures.
Watoto na Mambo ya Mizungu
Children and the Occult
Ondolea mbali hirizi, talasimu, kamba “za kujikinga,” makago, vitabu vya mizungu (maajabu), na kinginecho chote kinachohusiana na mazoea ya kuwasiliana na roho.
Rid yourself of charms, amulets, “protective” strings, fetishes, magic books, and anything else connected with spiritistic practices.
(Ona pia Mizungu; Pepo, Kuwasiliana na; Shetani, Ibada ya; Uaguzi)
(See also Divination; ESP [Extrasensory Perception]; Occultism; Satanism; Spiritism; Witchcraft)
Mifano ya ile iitwayo eti mizungu yenye manufaa hutia ndani maneno ya kiuchawi ya kujikinga, kutakasa nyumba yako kutokana na nguvu zenye kudhuru zilizoachwa na wapangaji wa awali, kufanya mtu akupende, kukuza uponyaji na afya, kuzuia usipoteze kazi, na kupata fedha.
Examples of this so-called benevolent magic include spells to protect yourself, to purify your home from negative energy left behind by former tenants, to make a person fall in love with you, to promote healing and health, to prevent the loss of your job, and to acquire money.
Mistari inayotangulia yasema kwamba wengi katika Efeso wakawa waamini, na watu kadhaa waliozoea ufundi wa mizungu wakachoma vitabu vyao mbele ya watu wote.
The preceding verses relate that many in Ephesus became believers, and a number who practiced magical arts burned their books before everybody.
Wachawi wanaaminiwa kuwa na uwezo wa kuletea mtu maumivu makali na hata kifo kupitia mizungu.
Witches are credited with the power to inflict severe pain and even death by means of magic.
“Watoto wanakabili hatari ya mambo ya Kishetani na ya mizungu yaliyowekwa kwenye Internet,” chasema chama kimoja cha walimu, kwa mujibu wa gazeti la The Independent la London.
“Children are at risk from Satanic and occult material posted on the internet,” states a teacher’s union, according to The Independent newspaper of London.
Sikuzote mizungu imehusianishwa na mafumbo
Magic has always been associated with the occult
* Watu wengi wa kale na wa siku hizi huamini kwamba mizungu inayofanywa na wachawi hufanywa ili kuwadhuru wengine.
* Many people in both ancient and modern times believe that the magic practiced by witches is performed to bring harm to others.
Wanajimu na waaguzi hutegemea unajimu, matufe ya kioo, na mizungu, nao wanapendwa na wengi.
Astrologers and diviners look to horoscopes, crystal balls, and the occult, and they have a huge following.