samwel boaz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 269
- 143
Siamin imani za kishirikina
Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A300FU using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia wamemfanyia hiyo Magufuli Ikulu mpaka anataka kuhamia Dodoma.Kule Sumbawanga kuna wazee wanahamisha nyumba za wenzao kishirikina..yaani unaamka asubuhi uko sehemu tofauti lakini nyumba ileile..hii sio chai,its true..
Sasa mahakama itaamua nini na haiamini uchawiIlitokea magu nyuma kidogo,walikodishana fisi kwa safari zao za kawaida,jamaa kurud akapita pabaya fisi akadedi,weeee kesi ilikua gumzo walipelekana mpaka mahakaman
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Wazungu limetokana na neno kuzunguka na si munguNasikia wamemfanyia hiyo Magufuli Ikulu mpaka anataka kuhamia Dodoma.
Ila mimi siamini uchawi. Inawezekana ni sayansi isiyojulikana tu.
Nikupe mfano.
Ukimchukua mtu wa miaka ya 1600 huko, ukamuonyesha jinsi ndege inavyopaa, jinsi mawasiliano ya internet na redio yanavyofanya kazi,etc, halafu ukamwambia huu uchawi, most probably atakubali ni uchawi.
Kwa sababu kwake ni vitu vya ajabu.
Kumbe ni vitu vinavyoweza kuelezeka naturally tu,huhitaji supernatural powers kuvielezea.
Kuna muandishimmoja nampenda sana wa science fiction, anaitwa Arthur C. Clarke, alisema "Any sufficiently advanced technology is indistiguishable from magic".
Teknolojia yoyote iliyoendelea sana haitofautiani na uchawi.
Sasa mtajuaje mnachoita uchawi ni uchawi (i.e, supernatural powers) au ni kitu kinachotumia sayansi na teknolojia ambayo hamjajijua tu (i.e natural powers but unknown at the time) ?
How do you tell the difference?
Wale mababu zetu walioona wazungu wanajua kutabiri kupatwa kwa jua waliwaona wazungu wachawi (ndiyomaana wakawaita wazungu,wazungu maana yake ni miungu - ukichukua mzungu ukatoa z unapata mungu -).
Sasa tutajuaje kwamba tunachofikiri ni uchawi si sayansi tofauti tu ambayo hatujaijua?
If at all the suspicion is authentic.
Basi lilisimama na kushindwa kuendelea na safari kwasababu ya kesi au tukio lenyewe? Maana inaelekea nasi lilikaa hapo muda mrefu sana. Kama mlizuliwa na tukio, ulifahamuje kuhusu mahakamani nk? Na kama mlizuiliwa na kesi, je hiyo mahakama iko barabarani na kulikuwa na ugomvi ulisababisha basi likapaki na nyie mpige soga mahakamani?Habari zenu...
Note:Kuamini kwako au kutokuamini kwako hakufanyi kitu kisiwepo.
Ni hivi ilikuwa siku ya jumamosi nikitoka katika mizunguko yangu ya kusaka maisha pande za Songea nikirudi dar kwa kutumia usafiri wa basi[Superfellow].
Ila tulipofika Kijiji kimoja kinaitwa kiwalala tulikutana na maajabu ya dunia.Tulipofika kiwalala tulikuta watu wengi sana wamezagaa maeneo ya barabara hivyo tulishindwa kuendelea na safari gari likasimama.Baada ya kudadisi kumbe kulikuwa na mkasa wa mambo ya uchawi mambo yalikuwa hivi~
Kuna bibi mmoja aliwapa kibarua mabinti wawili shambani kwake kazi ya kulima shamba lake.Wale mabinti walipofika shambani wakaanza kulima ghafla akatokea nyoka yule binti mmoja akamuuwa,baada ya kumuuwa wakaendelea kulima kabla hawajafika mbali akaja nyoka mwingine baada ya kuja nyoka wa pili akaja na yule bibi mwenye shamba.
Alipofika yule Bibi akamwambia yule binti aliyeuwa nyoka wa kwanza kama unaweza muuwe na nyoka huyu.Wale mabinti wakaanza Kuogopa wakashindwa kumuuwa yule nyoka mwingine.Kuanzia hapo Bibi akaanza kudai nyoka wake yule wa awali/kwanza aliyeuliwa.
Bibi akawa anawadai yule nyoka aliyeuliwa awali na wale mabinti,mabinti wakawa wanalia tu wanashindwa kumpa yule bibi nyoka wake.Ile kesi ilifika hadi serikali ya kijiji lakini cha ajabu yule bibi hakusita kudai nyoka wake.Kesi iligusa wananchi wengi wa maeneo ya kiwalala na viunga vyake.
kwanini bibi alidai nyoka ambaye ameshakufa?
Swali hili lilizunguka katika kichwa changu,ndipo nilipoanza kufanya udadisi kwa wananchi waliko pale.
Kumbe nyoka yule alikuwa ana matumizi mbalimbali katika ulimwengu wa giza.Nyoka aliyeuliwa alikuwa anamiliki vijiji 15 katika maeneo hayo alitumiwa kuuwa watu na kuiba vitu mbalimbali kama vile pesa,Kuku n.k.Pia nyoka huyo alikuwa anakodishwa kwa watu Kwa ajili ya matumizi mbali mbali yaani yule Bibi alikuwa anaishi kwa kutegemea yule nyoka.
Nyoka huyo ni wakawaida kama walivyo nyoka wengine?
Cha kushangaza kumbe yule nyoka hakuwa nyoka kama nyoka wakawaida bali alikuwa ni mtoto wa yule bibi alimfanya msukule kwa kumgeuza nyoka.Serikali ya kijiji ilishindwa kuamuwa kesi hiyo na kuamuru kesi ifike mahakamani.
Alafu kesi hii unaambiwa sio ya kwanza katika kijiji hiki kumewahi kutokea kwa kesi za namna hii nyingi sana hapo kiwalala.Kwa tukio hili nimeamini uchawi Upo.
Nawasilisha kwenu...
critical thinker
Habari zenu...

Basi lilisimama na kushindwa kuendelea na safari kwasababu ya kesi au tukio lenyewe? Maana inaelekea nasi lilikaa hapo muda mrefu sana. Kama mlizuliwa na tukio, ulifahamuje kuhusu mahakamani nk? Na kama mlizuiliwa na kesi, je hiyo mahakama iko barabarani na kulikuwa na ugomvi ulisababisha basi likapaki na nyie mpige soga mahakamani?
Funguwa tu mkuu lakini nasikia wenzako wanakimbia hukoNataka nine kufungua kanisa hapo
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu mtu kudai nyoka hadi wanafikishana katika vyombo vya sheria we unadhani ni hali ya kawaidahapana hata maeneo ambayo nimeish yanatokea mambo ambayo watu hushikana uchawi,ila katika misingi wanayoelezea ndipo napata shida kukubali au kuelewa kwamba huo,uchawi uko vp?
hivi mfano mtu kaumwa ama kaugua halafu,huyo mtu anasema kuna mtu kamroga,nawaza inakuwa vp au huo ugonjwa unakuwa vp na ubongo au moyo unapataje hayo maradhi bila kuguswa au kwa imani kama hiyo?
Wazungu limetokana na neno kuzunguka na si mungu
Nadhani unajaribu kubisha kitu ambacho hukijui tembea utaona a really world sio unajifungia ndani tuNyoka ni kiumbe tu ambaye binadamu mwenye akili anaweza kum control.
Sisi Wasukuma tunawachukua nyoka na kucheza nao ngoma, ni sehemuya mila na desturi.
Katika dini za asili za Afrika, tulifundishwa kuishi vizuri na mazingira, jinsi gani ya kuishi sehemu yenye nyoka wengi na kuwaacha hawa nyoka waishi kivyao na sisi tuishi kivyetu bila kudhuriana, ndiyo maana wazee wengine wakikuona unataka kumuua nyoka ambaye anajipitia zake wanakukataza, kwa sababu yule naye ni kiumbe anapenda kuishi na hataki kufa kama wewe.
Sasa, kuna koo zilizama sana katika mafundisho hayo mpaka kufikia uwezo wa kuwasiliana na wale nyoka na kuweza kukaa nao na kuweza kuwatumia katika kazi zao.
Huu si uchawi. Ni sayansi tu, kama wewe unavyoweza kukaa na mbwa ukamfuga na kumfundisha jinsi ya kucheza nawe.
Kibaya ni kwamba sanaa hii ya zamani imekufa baada ya watu weupe kuja kwetu na kutuambia kwamba utamaduni wetu ni ushenzi.
Wametuambia nyokani shetani.
Sasa wakitokea watu wachache wanaojua sanaa hizi kwakuwa wamerithishwa kwao, wanaitwa wachawi.
Hiyo habari yako haina kitu chochote kinachothibitisha kwamba uchawi upo hata kama hayo yote uliyosema yametokea.
Tatizo ukishaamini uchawi,hata jambo la kawaida, au lisilo la kawaida ambalo halijajulikana vizuri likitokea, badalaya kufanya uchunguzi wa kutosha ujue nini kimetokea,unakimbilia kutoa jibu la haraka la uchawi.
Kitu gani ambacho sikijui ninachobisha? Na unajuaje kwamba sikijui?Nadhani unajaribu kubisha kitu ambacho hukijui tembea utaona a really world sio unajifungia ndani tu
critical thinker
kwa haraka,unaweza ukadhani si hali ya kawaida lakini.ukikaa kwa umakini zaidi unaweza kuta katika hali ya kawaida huyo nyoka anatumika vp au anafanya nini? ndo hapo ngumu kuamini kwamba hayo yanasemwa yanatendeka kweli,au ni imani tu alonayo huyo mzee na wanakijiji pia.kwa upande wang nashindwa hapo kuamini iko kitu.Mkuu mtu kudai nyoka hadi wanafikishana katika vyombo vya sheria we unadhani ni hali ya kawaida
critical thinker
Mpakasasa najaribu kuona kanuni gani ya Chemistry, Physics, Biology, Mathematics etc imevunjwa.kwa haraka,unaweza ukadhani si hali ya kawaida lakini.ukikaa kwa umakini zaidi unaweza kuta katika hali ya kawaida huyo nyoka anatumika vp au anafanya nini? ndo hapo ngumu kuamini kwamba hayo yanasemwa yanatendeka kweli,au ni imani tu alonayo huyo mzee na wanakijiji pia.kwa upande wang nashindwa hapo kuamini iko kitu.
Hapana mkuu basi lilisimama kwa kuwa watu wengi walikuwa barabarani lakini kwa mtu unayetaka kufahamu zaidi unafanya udadisi na Mimi nilikuwa mmoja ya waliofanya udadisi ili kufahamu mkasa mzimaBasi lilisimama na kushindwa kuendelea na safari kwasababu ya kesi au tukio lenyewe? Maana inaelekea nasi lilikaa hapo muda mrefu sana. Kama mlizuliwa na tukio, ulifahamuje kuhusu mahakamani nk? Na kama mlizuiliwa na kesi, je hiyo mahakama iko barabarani na kulikuwa na ugomvi ulisababisha basi likapaki na nyie mpige soga mahakamani?
Lazima ufunguwe akili ili kufahamu/kujuwa elimu mbalimbali zinazotuzunguka kabla ya kuja kwa wazungu wazee wetu walikuwa na sayansi yao ambayo Leo hii ndo inaitwa uchawi.We unavyodhani watu wanaweza kuzungumza tu for all these years kitu ambacho hakipo?Kitu gani ambacho sikijui ninachobisha? Na unajuaje kwamba sikijui?
Critical thinker anatakiwa ajue kujieleza asiache vitu vinaelea hewani.
nadhani,suala limebase upande wa imani au jinsi watu wanavyoamini au kwamba wana namna nyingine ya kubadili kazi na matumiz ya nyoka,sasa mwenyew najiuliza inawezekana vp au huo uchawi unafanywa vp?Mpakasasa najaribu kuona kanuni gani ya Chemistry, Physics, Biology, Mathematics etc imevunjwa.
Sijaona bado.Hata kamayote yaliyosemwa yametokea kweli.
Inaonekana kinachoshangaza sana hapa ni mtu kuwa karibu na nyokana kumtumia nyokakatikakazi zake.
Nishaeleza hapa Wasukuma tunacheza nao nyoka ngomampaka kesho, nashangaa watu kuwa karibu na nyoka kinachoshangaza ni kipi?
Mimi nilifikiri nitaambiwa mtu kavunja second law of thermodynamics,aukarudisha nyuma muda, au kateleport kijiji kizima within a second!
Kumbe imani tu za watu?
Hayo ndo maswali ambayo hata Mimi nilikuwa najiuliza,hivi inakuwaje mtu anadai nyoka kiumbe ambacho ni hatari kwa binadamunadhani,suala limebase upande wa imani au jinsi watu wanavyoamini au kwamba wana namna nyingine ya kubadili kazi na matumiz ya nyoka,sasa mwenyew najiuliza inawezekana vp au huo uchawi unafanywa vp?