Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Siamini uchawi. Lakini nawakilisha kama nilivyoambiwa.Mkuu walimfanyia nini Magu hapo ikulu? hebu tupe uhondo kidogo.
Acha ujinga weweMkuu una undugu na mshana?,kutembea kwako na sura ni kama mshana jr isipokuwa wewe ukitembea hugeukigeuki nyuma kama mshana nadhani hugeukigeuki unaogopa kuwa nguzo ya sukari kama kama mrs rutu
Nimetoa source inayoelezea etymology ya "mzungu".Kwenye "mzungu" upo tayari itolewe "z" ili iwe "mungu" ila kwenye "zunguka" unaulizia "ka" imeenda wapi.
Kuna maneno yanabadilika kadri muda unavyoenda na wakati mwingine hata maudhui ya neno husika huweza kuhama kabisa.
Wazunguka kubaki wazungu ni inawezekana. Ni kama neno mwanamume kuwa mwanaume.
Watu wanabisha tu lakini hawaujuwi ukweli kabisaKweli mkuu" huo mkasa nimeukuta unaendelea juzi jumanne nilikuwa natoka Masasi kuelekea Lindi Mjini...
Duuh hatare sana each person anazungumza lake
Nashukuru mkuu, ngoja tuendelee kutafiti hii sayansi iliyojificha.Siamini uchawi. Lakini nawakilisha kama nilivyoambiwa.
Wanasema anajikuta kalazwa nje.
Habari ni kuwa mambo hayo yamewakuta marais wote waliokaa pale.
Nyerere, Mwinyi, Kikwete, Mkapa na sasa Magufuli.
Ndiyo maana Nyerere aliamua kukaa Msasani, Mwinyi akakaa Oysterbay, Mkapa akakaa Sea View. Wakivyokuwa marais.
Aliyepaweza ni Kikwete, ambaye alileta mafundi kutoka Bagamoyo.
Habari ni kwamba aliyemsaidia Magu ku deal na hayo mambo ni Bashite. Ambaye kampelekea mafundi wa Bagamoyo. Ambao kila mwezi ni lazima wa recharge battery.
Ndiyo maana Magu piga ua galagaza hamuachi Bashite.
Ndiyo maana ghafla bin vuu unasikia serikali inataka kuhamia Dodoma.
Watoto wa Kikwete na Mkapa washawahi kusema habari za Ikulu kuwa na mauzauza.
Lakini kama nilivyosema mwanzo. Siamini uchawi. Naeleza nilichoambiwa tu.
Sent from my Kimulimuli
Nimetoa link yenye etymology hapo juu.Hahaaaaa umeniwahi!
Nami nilitaka kuhoji hivyo hivyo.
Binafsi naikubali zaidi nadharia ya 'mzungu' - mzungukaji na 'wazungu' - wazungukaji.
Naamini hivyo ndivyo ilivyokuwa [yaani kuzunguka zunguka kwao] hadi kupelekea wao kuitwa hivyo.
HahahahahYaaan MTU kudai mfugo wake unakompeaje na uchaw
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nilivyokua najibu ile hoja yako sikujikita katika kukubali wala kukataa asili ya neno 'Mzungu' nilionyesha tu ni jinsi gani inavyowezekana kwa 'mzunguka' kua 'mzungu'Nimetoa source inayoelezea etymology ya "mzungu".
Soma.
Ni ukweli mgumu kumeza kwamba wahenga waliwaina wazungu kama miungu.
Hivyo sitegemei ukubali kirahisi.
Hususan kama umeweka mbele racial pride kuliko kutafuta ukweli.
Sent from my Kimulimuli
Ukiwa critical thinker utajua kwamba "ukweli kabisa" ni dhana potofu.Watu wanabisha tu lakini hawaujuwi ukweli kabisa
critical thinker
Nilivyokua najibu ile hoja yako sikujikita katika kukubali wala kukataa asili ya neno 'Mzungu' nilionyesha tu ni jinsi gani inavyowezekana kwa 'mzunguka' kua 'mzungu'
Pia nikaonyesha ulivyo tayari mzungu kua mungu lakini siyo mzunguka kua mzungu.
Unaposema umeonyesha hadi source ya hoja zako kwani ni sources ngapi zilikua zikitumiwa miaka yote na kumbe ni famba? Hii yako inaweza ikawa upande huo pia.
Utayari wako wa mzungu kua mungu na siyo mzunguka kua mzungu unadhihirisha kua ni wewe ndiye umetanguliza racial pride na si mimi.
Hata kuamini Mungu ni ushirikina.Upo mkuu ushirikina
Kwanza kabisa mimi siamini kuwepo kwa Mungu.
Kwa hiyo kusema Mzungu amepewa jina hilo kwa sababu ameonwabkamanMungu nibkatika context ya wahenga walivyoam8ni. Si mimi ninavyoamini.
Naelewa kwa mtu mwenye racial pride inayomfumba machobya kutafutavukweli ni ngumu kumeza. Sitegemei ukubali kirahisi.
Ukitaka habari za "jinsi gani inawezekana" bila standard ya kueleweka utakuta kila kitu kinawezekana na hakiwezekani na habari nzima inakosa maana.
Ukikataa source kwa sababu source inaweza kuwa famba umeshakataa kujifunza chochote utakachoweza kuletewa kabla hata hujaletewa kwa sababu source yoyote inaweza kuwa famba.
Sasa mtuvkama wewe kuendelea kujadiliana nawe kunaweza kuleta tija gani?
Wakati ushakataa vitu ambavyo hata sijakuletea bado, kwa sababu source yoyote inaweza kuwa famba?
Umeamua unachoamua tu na sina sababu ya kuendelea kujibizana nawe.
Sent from my Kimulimuli
Naona umejaribu kurefer kuhusu Western education tu je unazungumziaje kuhusu elimu zetu za jadi?kabla ya kuja kwa wazungu.Mizimu,Majini na misukule vitu hivi tuseme havipo?Ukiwa critical thinker utajua kwamba "ukweli kabisa" ni dhana potofu.
Ukweli wowote utategemea assumptions.
Ukisema ni ukweli kabisa kwamba pembetatu ina nyuzi 180, utakuwa sawa kama unaanza na assumption kwamba axioms za Euclid ndizo za geometry pekee katika ulimwengu.
Lakini kuna geometry ambazo hazifuati axioms za Euclid ambazo kwa hizo, pembetatu ina nyuzi zaidi tu ya 180 au pungufu tu ya 180.
Curved space ina pembetatu zilizozidi nyuzi 180.
Karl Popper na Kurt Godel wametuonyesha hili katika falsafa. Soma Godel's Incompleteness Theorem. Soma Popper's "The Logic of Scientific Discovery".
Werner Heisenberg (Heisenberg Uncertainty Principle) Albert Einstein (Wave Particle Duality) Thomas Young (Double Slit Experiment) na Max Planck (Planck Scale) wametuonyesha hili katika Physics.
Ukitaka kujua "ukweli kabisa" zaidi wa kitu kwa upande mmoja, ukweli kabisa wa upande wa pili wa kitu hicho hicho unakukimbia.
Na huo mchakato wako tu wa kutaka kujua "ukweli kabisa" utaingilia ukweli wenyewe kama upo at all. Quantum Physics inatuambia ukweli kabisa ni illussion ya large scale universe. Ukichunguza kabisabutakuta haupo popote. Unapata probabilityvrange tu. Hupati "ukweli kabisa".
Kujua ukweli ni lazima uondoe hilo neno kabisa halafu ukubali "margin of error" ambayo katika working framework yako itakuwa acceptable and negligible.
Ultimately, the nature of the world, according to quantum physics is probabilistic and does not actually exist at anyvsettled state (Planck, Young, Einstein, Heisenberg). According to philosophy, the truth of this world cannot be known by anything that does not transcend this world (Godel, Popper)
Tumeongea sana kuhusu uchawi.
It's time to drop some science and philosophy.
Sent from my Kimulimuli
Nimekuuliza uchawi ni nini?Naona umejaribu kurefer kuhusu Western education tu je unazungumziaje kuhusu elimu zetu za jadi?kabla ya kuja kwa wazungu.Mizimu,Majini na misukule vitu hivi tuseme havipo?
Elimu ya giza ni elimu tu kama zilivyo elimu nyingine hata kama hawaiwezi kuthibitishika lakini haifanyi kutokuwepo kwa elimu hii.Ninachofahamu Mimi elimu ni pana sana pia zinatofautiana kulingana na mazingira ya eneo husika kama hufahamu hao wazungu kabla ya kuingia ustaarabu kutoka mashariki ya kati nao waliamini sana katika elimu za giza.Zipo baadhi ya makumbusho hadi Leo zenye taarifa kuhusu elimu hizo
critical thinker