Watu wanabisha tu lakini hawaujuwi ukweli kabisa
critical thinker
Ukiwa critical thinker utajua kwamba "ukweli kabisa" ni dhana potofu.
Ukweli wowote utategemea assumptions.
Ukisema ni ukweli kabisa kwamba pembetatu ina nyuzi 180, utakuwa sawa kama unaanza na assumption kwamba axioms za Euclid ndizo za geometry pekee katika ulimwengu.
Lakini kuna geometry ambazo hazifuati axioms za Euclid ambazo kwa hizo, pembetatu ina nyuzi zaidi tu ya 180 au pungufu tu ya 180.
Curved space ina pembetatu zilizozidi nyuzi 180.
Karl Popper na Kurt Godel wametuonyesha hili katika falsafa. Soma Godel's Incompleteness Theorem. Soma Popper's "The Logic of Scientific Discovery".
Werner Heisenberg (Heisenberg Uncertainty Principle) Albert Einstein (Wave Particle Duality) Thomas Young (Double Slit Experiment) na Max Planck (Planck Scale) wametuonyesha hili katika Physics.
Ukitaka kujua "ukweli kabisa" zaidi wa kitu kwa upande mmoja, ukweli kabisa wa upande wa pili wa kitu hicho hicho unakukimbia.
Na huo mchakato wako tu wa kutaka kujua "ukweli kabisa" utaingilia ukweli wenyewe kama upo at all. Quantum Physics inatuambia ukweli kabisa ni illussion ya large scale universe. Ukichunguza kabisabutakuta haupo popote. Unapata probabilityvrange tu. Hupati "ukweli kabisa".
Kujua ukweli ni lazima uondoe hilo neno kabisa halafu ukubali "margin of error" ambayo katika working framework yako itakuwa acceptable and negligible.
Ultimately, the nature of the world, according to quantum physics is probabilistic and does not actually exist at anyvsettled state (Planck, Young, Einstein, Heisenberg). According to philosophy, the truth of this world cannot be known by anything that does not transcend this world (Godel, Popper)
Tumeongea sana kuhusu uchawi.
It's time to drop some science and philosophy.
Sent from my Kimulimuli