Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Wewe mkuu huyo ni Roho mtakatifu alikuwa anaondoka anaondoka zake kurudi mbinguni . [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bahati mbaya ni mvivu wa kuandika lakin kisa cha kusisimua zaid maishani mwangu ni kitendo cha mganga toka tanga kufariki ghafra baada ya kumaliza kutoa kafara ya kondoo pale nyumbani mwanza
 
Uchawi ni science iliyojificha tena chafu kupita kiasi. Ndio maana wazungu wanasema " life is a game "
 
Toa sababu iliyopelekea we we kuamini kuwa mwanga ule ni wa kichawi ilihali ulikuwa Jirani na kanisa
 
Uchawi huwasumbua wasioamini kuushinda uchawi kwa imani ya Yesu
 
Je Unadhibitishaje Huo ni Uchawi.... Kwanini Asiwe malaika?
 
Watu walivyo wanafiki humu hutasikia hata mmoja akisema ni mchawi au anaamini uchawi wote utasikia wakipinga kwa bahati nzuri unafiki wa binadamu unafahamika vizuri sana...
Mtaumbuka siku moja kwa jina la Yesu Kristo enyi wachawi na mawakala wote wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…