Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Kuna jamaa yangu mmoja alihamia kwe nye nyumba moja na baada ya muda alikuwa akikutana na mauza uza ndani mwake,kama vile kuamka asubuhi na kukuta sebuleni kuna mabaki ya chakula ambacho wao hawakupika usiku wa kuamkia siku hiyo n.k

Aliamua kuhama na nilikwenda kumsaidia kuhamisha vitu,siku ya kuhamisha na mimi nikiwemo tulianza kuhamisha vitu na kikabaki kitanda na sofa moja chumbani,wakati niko mimi na jamaa yangu huyu tukikifungua kitanda ili tukipeleke kwenye gari sofa iliyokuwemo mule ndani ilianza kuwaka moto wa ghafla tena moto mkubwa ajabu

Ilibidi tuanze kulizima kwanza na kisha tukaendelea kufungua kitanda ni kukihamisha,kumbuka mule ndani tulikuwa wawili tu na lile sofa lilikuwa mbali na mlangoni na dirishani pia

Unaweza kuniambia kilichosababisha hilo tukio achilia mbali jamaa yangu kuamka karibia kila asubuhi na kukuta watu wamekula pilau na kuacha vipande vya kuku sebuleni?
 
Kukuta mabaki ya chakula sebuleni na sofa kuwaka moto!!
Huu kweli ni mfano wa uchawi?!
Mbona sioni miujiza katika matukio haya, ni matukio ya kawaida tu,

Hivi siwezi nikafanya ujanja tu wa kawaida nikaweka pilau sebuleni kwako?
Baada ya nyie kutogundua chanzo cha moto mkahisi tu kuwa ni ushirikina, sivyo?!,hatuwezi sasa kusuggest kwamba ushirikina ni vitu vya kuhisi tu?

Kwenye nilichoandika na wewe umeki quote niliweka maneno haya;
Unaweza kuniambia kilichosababisha hilo tukio achilia mbali jamaa yangu kuamka karibia kila asubuhi na kukuta watu wamekula pilau na kuacha vipande vya kuku sebuleni?

Hukuona?

Kama umeona mbona hujaniambia kile ambacho kinaweza kusababisha hayo?

Umeanza ku assume kuwa "ninaweza kukuwekea chakula sebuleni kiujanja tu",kwanini uniwekee hayo mabaki ya chakula tena kiujanja?

Hivi unadhani kila mtu hawezi ku reason kama unavyofikiria?

Mtu unaishi kwenye nyumba yenye "gibsum" na grill za kutosha,unaingia ndani wewe na wanao,nyumba haina jirani kwa maana umepanga nyumba yote wewe,ili jirani aje ni hadi mtu amfungulie geti kubwa,pia nyumba imezunguzhiwa uzio wa ukuta,huyo mtu ambae ataniletea mabaki ya chakula kiujanja atakuwa ni mtu wa aina gani?

Mkuu hebu kuwa serious basi!!
 
Siku nyingi nimekuwa siamini kama kweli kuna uchawi katika Tanzania hii, achilia mbali huko kwa wengine. Nimekuwa siamini kwa sababu makosa yote hapa nchini yana adhabu zake isipokuwa la uchawi hii ikimaanisha kuwa Serikali inaamini kuwa hakuna uchawi.

Hatahivyo, siku za hivi karibuni imani yangu imeanza kupungua baada ya Kiongozi mmoja katika Serikali hiyo hiyo inayoamini kuwa hakuna uchawi kudai kuwa amegundaua mbinu kuwa anarogwa ili awe zoba auwawe kirahisi.

Sasa nikajiuliza, huyu mtu yumo ndani ya Serikalini inayoamini kuwa hakuna uchawi, akiwa pekee yake kuna uchawi, inakuwaje hapa?

Aidha, jana tarehe 28/03/2011 nilikuwa nasikiliza Redio Wapo FM kuanzia saa 1.30 jioni kipindi cha “yaliyotufikia” nikasika kuwa kuna fisi ameshambulia watu huko Mto wa Mbu, akauawa na askari wa wanyama pori, baada ya kuuawa, wakakuta ametobolewa masikio kama alikuwa anawekewa hereni.

Je, huyu fisi alikuwa anashiriki mashindano ya “Miss Mto wa Mbu” au ni fisi wa wachawi?

Sasa wana JF wenzangu ni kweli kuna uchawi? Au ni njama za wajanja kutishia wenzao.

we ulidhani haupo
 
Sikuzungumzia yote yanayohusiana na yote kwasababu hata hayo yote sijui kama ni yote ...!!

Hujui yote halafu unajinadi kukandia wanaosema uchawi haupo kwa kutumia sayansi isiyojua yote

Unajifunga kwa kamba yako mwenyewe. Unajihukumu kwa sheria yako mwenyewe. Unajikata kwa kisu chako mwenyewe.

You must be Plaxico.
 
We jamaa ni noma .....

Ni sawa na kusema "huwezi kudai gari inayopita barabarani ipo kwasababu watu wengine hawaioni wakati imethibitika macho yao yana matatizo"

Kwa mtazamo wako najifunga kwa kusema gari ipo kwasababu watu wengine hawaioni japokuwa imethibitika macho yao ni mabovu

Nimesema kuwa watu ni wa ajabu sana kwa wao kudai uchawi haupo kwasababu tu sayansi imeshindwa kuuthibitisha,wakati sayansi hiyo hiyo inakubali kuwa kuna mengi sana haiyajui

Uliponiuliza kama yote ambayo sayansi imeshindwa kuyathibitisha kama yapo nikakuambia sijui lakini nikakuambia kuna ambayo sayansi imeshindwa kuyathibitisha na nina hakika yapo

Unakuja na kusema ninajifunga mwenyewe,nimejifunga wapi au unaona maruwe maruwe?
 
Kama huamini uchawi basi huamini biblia wala quran kwan vitabu vyote ivo vimeelezea kuwepo kwa uchawi
 
We jamaa ni noma .....

Ni sawa na kusema "huwezi kudai gari inayopita barabarani ipo kwasababu watu wengine hawaioni wakati imethibitika macho yao yana matatizo"

Kwa mtazamo wako najifunga kwa kusema gari ipo kwasababu watu wengine hawaioni japokuwa imethibitika macho yao ni mabovu

Nimesema kuwa watu ni wa ajabu sana kwa wao kudai uchawi haupo kwasababu tu sayansi imeshindwa kuuthibitisha,wakati sayansi hiyo hiyo inakubali kuwa kuna mengi sana haiyajui

Uliponiuliza kama yote ambayo sayansi imeshindwa kuyathibitisha kama yapo nikakuambia sijui lakini nikakuambia kuna ambayo sayansi imeshindwa kuyathibitisha na nina hakika yapo

Unakuja na kusema ninajifunga mwenyewe,nimejifunga wapi au unaona maruwe maruwe?

Umejifunga kwa kuwakandia wanaosema uchawi haupo kwa kutumia sayansi isiyojua yote wakati hata wewe unayewakandia unatumia ufahamu wako usiojua yote.

Kama rationale yako ni kwamba sayansi haifai kutumiwa ili kusema uchawi haupo kwa sababu haijui yote, utajuaje chochote kuhusu lolote ilhali ufahamu wako haujui yote?
 
Sayansi kutokujua yote haina maana haiwezi kujua chochote

Mimi kutokujua yote haina maana siwezi kujua chochote

Point yangu ya msingi ni kwamba,nitakuwa ni mpuuz.i sana kudai jambo fulani halipo kwa sababu tu kwa kutumia uwezo wangu ambao hauwezi kujua yote nimeona halipo

Ni mpuuzi kwasababu natumia kifaa ambacho hakina uwezo kujua yote kukanusha uwepo wa kitu!
 
Kama sayansi kutojua yote haina maana haiwezi kujua chochote kwa nini unawakandia wanaosema uchawi haupo kwa kutumia msingi wa sayansi?
 
kuhakikisha zaidi mwagizie wife akaibe mchele duka la mpemba...:A S wink:
 
Uchawi hakuna majini hakuna sijawahi kuona kwa macho yangu popote so siwezi kuamini
 
Kama sayansi kutojua yote haina maana haiwezi kujua chochote kwa nini unawakandia wanaosema uchawi haupo kwa kutumia msingi wa sayansi?

Unasoma ninachokuandikia kweli au umeamua kuleta ligi tu?

Labda nikuambie kwa lugha hii..

Inawaeza kuwepo dawa ambayo hitibu magonjwa yote,lakini hiyo haimaanishi kuwa dawa hiyo haina uwezo wa kutibu ugonjwa wowote

Kuwepo kwa ugonjwa ambao dawa hiyo inashindwa kuutibu himaanishi ugonjwa huo hautibiki

Ni sawa na kwenye ishu hii,sayansi haijui yote,lakini haimaanishi haijui chochote,kuna mambo sayansi inayajua,hayo inayoyajua inaweza kuyathibitisha,yale ambayo haiyajui huwezi kuhitimisha hayapo kwakuwa inawezekana kabisa yapo ila kwasababu ya udhaifu wa sayansi ndio umeifanya isiweze kuthibitisha uwepo wake

Na ushahidi wa hilo nimeshasema upo na nimeshasema hapo juu ni upi

Kuna mambo yanayoendelea huku tunakoishi na ni matokeo ya uchawi ambao sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wake!
 
"Nchi ya Uingereza haipo kwasababu sijawahi kuiona"

Uchawi upo, kwa sisi tulieishi Vijijini huko Iringa ukitwambia hakuna uchawi ni kututukana...

Though sijawahi mfumania mchawi, lakini mauza uza,kukabwa, kurogwa, kupata magonjwa ambayo yapo beyond an ordinary human's knowledge yanathibitisha uwepo wa uchawi

kinachonishinda ni kutojua tofauti ya Magic, Whitch craft, & sorcerery
 
"Nchi ya Uingereza haipo kwasababu sijawahi kuiona"
mkuu nina heshima mingi sana kwako, sema zaidi ya huo mfano wako niendelee kuheshimu post na comment zako
Make me belive, prove it to me, acha siasa. uchawi hakuna mpaka ntakaposhawishiwa na kuaminishwa tofauti
 
Unasoma ninachokuandikia kweli au umeamua kuleta ligi tu?

Labda nikuambie kwa lugha hii..

Inawaeza kuwepo dawa ambayo hitibu magonjwa yote,lakini hiyo haimaanishi kuwa dawa hiyo haina uwezo wa kutibu ugonjwa wowote

Kuwepo kwa ugonjwa ambao dawa hiyo inashindwa kuutibu himaanishi ugonjwa huo hautibiki

Ni sawa na kwenye ishu hii,sayansi haijui yote,lakini haimaanishi haijui chochote,kuna mambo sayansi inayajua,hayo inayoyajua inaweza kuyathibitisha,yale ambayo haiyajui huwezi kuhitimisha hayapo kwakuwa inawezekana kabisa yapo ila kwasababu ya udhaifu wa sayansi ndio umeifanya isiweze kuthibitisha uwepo wake

Na ushahidi wa hilo nimeshasema upo na nimeshasema hapo juu ni upi

Kuna mambo yanayoendelea huku tunakoishi na ni matokeo ya uchawi ambao sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wake!

Objection yako iliyokufanya uwakandie wanaotumia sayansi kusema uchawi haupo, kwa sababu sayansi haijui kila kitu, inatakiwa kukufanya wewe ambaye ufahamu wako haujui kila kitu utumie objection hiyo hiyo na kutojua chochote kuhusu chochote, kwa sababu ufahamu wako haujui yote.

Kwa nini ukatae maneno ya wanaosema uchawi haupo kwa kutumia sayansi, kwa sababu sayansi haijui yote, na hapo hapo ukubali habari unazopata kwa ufahamu wako ilhali ufahamu wako huo huo haujui yote sawa sawa tu na hiyo sayansi as far as kujua yote is concerned?

Kama kanuni yako ni kwamba "huwezi kukataa kuwepo kwa uchawi kwa kutumia sayansi, kwa sababu sayansi haijui yote", vipi na mimi nikitumia logic yako hii kukuambia "huwezi kukubali kuwepo kwa uchawi kwa kutumia ufahamu wako, kwa sababu ufahamu wako haujui yote"?

Nilichobadilisha hapo ni kutoa "sayansi" na kuweka "ufahamu wako" na pia kutoa "kukataa" na kuweka "kukubali".

Otherwise, essentially the argument is the same.

Swali la msingi hapa ni, unaweza kutumia mfumo usiojua yote kujua chochote?

Kama jibu ni ndiyo, huna msingi wa kuwakatalia wanaotumia sayansi kusema uchawi haupo.

Kama jibu ni hapana, hata wewe ufahamu wako haujui yote, hivyo hujui chochote.
 
Walkati mwingine ngoja nikujibu kwasababu inawezkana ukanielewa

Mfano tuchukulie kuna vyombo viwili ambavyo havina uwezo wa kuju yote,chombo kimoja kimeweza kugundua mambo mengi sana lakini kimeshindwa kugundua kama kuna maji kwenye chumba cha raisi

Chombo kingine nacho kimegundua mengi nalakini pia kimeweza kujua kwenye chumba cha rais kuna maji

Vyombo vyote hivi viwili vina wafuasi ambao wanavikubali,wale wafuasi wa chombo cha kwanza wanasema kwenye chumba cha rais hakuna maji kwasababu chombo chao kimeshindwa kujua kama kwenye chumba hicho kuna maji wakati wanajua kuwa chombo chao hakina uweo wa kujua yote

Hawa watu wangekuwa na hoja ya msingi kama chombo chao kina uwezo wa kugundua yote,lakini sio hivyo

Hawa wafuasi wa chombo cha pili wanawashangaa hawa wafuasi wa chombo cha kwanza kwa kuhitimisha maji hayapo kwasababu chombo chao kimeshindwa kufanya hivyo wakati wanajua chombo chao hakina uwezo wa kujua au kugundua yote

Kwa mfano huo naweza kuwa nimeeleweka kwasababu,unaweza kutumia mfumo usioweza kujua yote kujua chochote kwasababu hicho kilichojulikana na mfumo huo ni miongoni mwa vile ambavyo mfumo huo unaweza kujua

Mfano hai ni sayansi,kwasababu haina uwezo wa kujua yote haimaanishi haina uwezo wa kujua baadhi ya mambo,lakini kusema kitu fulani hakipo kwasababu tu sayansi umeshindwa kuyagundua au kuthibitisha ni upuuzi!
 
Back
Top Bottom