Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Je, unaamini kuwa uchawi upo?

mkuu nilipoona to hii thread nikasemaa hii lazma itakua kwetu kusini, kiukweli huko kwetu kuna uchawi sana yan, yan hata mm kiukweli nimejenga tabia ya kufananisha tukio lolote linalotokea katika hali ya kawaida na uchawii,, watu wanalogana sana songea, watu wanatajrika sana kwa uchawii, watu wengi wanautajiri wa nyoka kama unakumbuka miez c mingi watu waliua nyoka na mtu wake huko kwetu songea, so uchawii upo na ni kawaida sana kwa cc wakaz wa uko. Over
 
Uchawi upo ila wazungu walitufikirisha vibaya kuwa wachawi yaani wenye huo uchawi ni watu wabaya sana hivyo tuwachukie. Mfano ni wenyejiwa kanda yaziwa. Huwaua hata wazazi wao kwa kuwachoma moto ati ni wachawi. Mama akubebe mimba miezi 9 akuzae kwa maumivu mengi, akupe damu yake unyonye miaka 2. Leo uchukue jiwe, panga, mkuki umuue ati ni mchawi??
Nadhani wewe ni kichaa flan. Serekali iruhusu wakufunzi rasmi wawafunde watu kama hatutagundua nishati mbadala ya umeme
 
Nyoka za songea hzo hazijawahi kuwaacha watu salama
Hii scenario ya pili kuacha ile ya yule mzee aliyebeba nyoka kwenye boksi
Inaonekana songea wanatumia sana nyoka
Mkuu ni kweli uchawi Upo kabisa mi nashangaa hapa jf watu wanabisha tu

critical thinker
 
uchawi upo...
hapo kibaha maili moja kulikuwa na sinttofahamu juzijuzi baada ya nyoka kuongea na kumwambia jamaa operator wa dozer aache kubomoa eneo alililopo.
hapo kuliwahi kuwa na kibanda cha mjasiliamali flani.

hilo tukio lilijaza umati wa watu, sisi wapitaji tulibisha lkn kila aliyeulizwa alikomaa ni kweli nyoka kaongea.

uchawi unachangia 80% ya umasikini wa kaya na familia nyingi za watanzania
 
mkuu nilipoona to hii thread nikasemaa hii lazma itakua kwetu kusini, kiukweli huko kwetu kuna uchawi sana yan, yan hata mm kiukweli nimejenga tabia ya kufananisha tukio lolote linalotokea katika hali ya kawaida na uchawii,, watu wanalogana sana songea, watu wanatajrika sana kwa uchawii, watu wengi wanautajiri wa nyoka kama unakumbuka miez c mingi watu waliua nyoka na mtu wake huko kwetu songea, so uchawii upo na ni kawaida sana kwa cc wakaz wa uko. Over
Nashukuru kwa kuleta ushuhuda mwingine

critical thinker
 
Umri wako kwanza plz!!!hv mpaka leo hijuagi na huaminig kama uchawi upo,,njoo kanda ya ziwa au kanda ya magharibi alafu uibe hata spoku ya baiskeli ndo utaamini kuwa uchawi upo ,,mtu haoni hataree kuuza ng'ombe akakuloge kwa kuiba kuku,,,note,,kuiba,dhuluma,au kutembea na mke wa mtu au mme wa mtu ni mwiko,,ila kama unataka kuokota makopo kwa lazma ruksa

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Uchawi upo ila wazungu walitufikirisha vibaya kuwa wachawi yaani wenye huo uchawi ni watu wabaya sana hivyo tuwachukie. Mfano ni wenyejiwa kanda yaziwa. Huwaua hata wazazi wao kwa kuwachoma moto ati ni wachawi. Mama akubebe mimba miezi 9 akuzae kwa maumivu mengi, akupe damu yake unyonye miaka 2. Leo uchukue jiwe, panga, mkuki umuue ati ni mchawi??
Nadhani wewe ni kichaa flan. Serekali iruhusu wakufunzi rasmi wawafunde watu kama hatutagundua nishati mbadala ya umeme
Mkuu nadhani unabisha kitu usichokijuwa kila maeneo Wana aina yao ya uchawi huu niliokupa Mimi ni aina moja wa uchawi hao wanauwa wazazi wao ni wapuuzi tu

critical thinker
 
Mkuu nadhani unabisha kitu usichokijuwa kila maeneo Wana aina yao ya uchawi huu niliokupa Mimi ni aina moja wa uchawi hao wanauwa wazazi wao ni wapuuzi tu

critical thinker

Mkuu;
Nisome vizuri sijakuita wewe foramyangu kuwa kichaa bali hao wanao thubutu kuwaua wazazi wao haswa mama zao. Nakubali kabisa uchawi upo ila tuutumie vizuri tutafanikiwa.
 
Ilitokea magu nyuma kidogo,walikodishana fisi kwa safari zao za kawaida,jamaa kurud akapita pabaya fisi akadedi,weeee kesi ilikua gumzo walipelekana mpaka mahakaman

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
doh sijui kwanini,mi siamini kama uchawi upo ase.
hata kwa hii stori yako,mkuu bado sijaamini kama kweli,iko kitu kipo.
 
Uchawi upo nakumbuka miaka mitatu iliyopita niko na wenzangu yapata saa 9 usiku tunatoka Harusini, Njiani tulikutana na kikundi cha wachawi wake kwa waume, wakifanya yako wakiwa watupu , tulipofika eneo lile kuna mwenzetu mmoja akaaza na yeye kupandisha mashetani wachawi walitoka mbio sana, ila mambo haya yanatisha sana.
 
doh sijui kwanini,mi siamini kama uchawi upo ase.
hata kwa hii stori yako,mkuu bado sijaamini kama kweli,iko kitu kipo.
Kama unaishi mjini tu huwezi jua jaribu kuzunguka maeneo mbalimbali mkuu,uchawi Upo kabisa nimeprove kwa macho yangu

critical thinker
 
Back
Top Bottom