GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana?
2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.?
3. Kumuondolea Lawama Waziri Nape Nnauye ambaye Bunge Live ilisitishwa akiwa Waziri na sasa imerudishwa bado tena akiwa ni Waziri?
4. Kutaka kupitisha na Kuwaaminisha rasmi Watu ( Umma ) na Propaganda zao ili Waaminike na Wavivu na Goigoi katika Kufikiri?
5. Ni moja ya takwa Muhimu la nchi Kubwa ( hasa hasa ) za Magharibi, Umoja wa Ulaya na akina WB pamoja na IMF kuwa Tanzania ilikuwa na ukandamizaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari hivyo ili wapate Pesa za Misaada katika Miradi mbalimbali basi warejeshe Kwanza Bunge Live Tanzania?
6. Kutaka kwa Makusudi kutuonyesha Watanzania 'incompetence' ya Wabunge wengi wa Bunge hili ambao wameshinda na kuwa Wabunge kwa 'Ujanja Ujanja' na 'Mizengwe' mingi?
7. Kuhamisha Mawazo mengi na Fikra nyingi za Watanzania ziwe zinajikita kwa Bunge Live kwa ama Kushabikia au Kuhoji tu ya huko huku Kwingineko Wajanja wakifanya yao katika Kunyonya Rasilimali za Tanzania na Kujineemesha nazo Kibinafsi, kwa Familia zao na wale ambao Kutwa hupenda Kujikomba na Kujipendekeza Kwao?
Ninasubiria 'mirejesho' yenu tu Wakuu.