Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

No research no right to speak [emoji3578][emoji849]
 
Mwanaume Romantic ni yule ambaye anatekeleza maazimio ya mwanamke ikiwemo kumpa mapesa,kumpigia simu za kumjulia hali kila saa na kujibebesha majukumu yoyote yale ilihali kuhakikisha tu mwanamke wake hapati tabu! Kumafatafata saluni na gari, chuoni, kumpitia kazini πŸ˜…

Matokeo yake sasa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mungu nifundishe kunyamaza!!!
 
Bongo Romantic ni wale waume za watu mnaowaganda na kuwatwanga Invoice πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio mfano halisi!

Kwa sie makapuku tunaopiga free kende tunahesabiwa mabaharia tu!
 
Heheheheheheh baba yako mzazi anafit zaidi katika hii angle πŸ˜‚
 
hongera sana mkuu, yani wewe ni best lover
unatakiwa kuwa UNIQUE kwa mwanamke wako, licha ya kufanana jinsia na wanaume wengine lakini still we ni unique kwa mke wako
 
hahaaa, huwezi ukawa mchafu ukawa na attraction my be ukawa vizuri kuprovide needs tu
 
Huwa naelewa ya kuwa Mwanamke huyo hajielewi.
 
Na hii niliosoma hasubuhi kuwa PAPA ameficha kuwa padri alikuwa ana lawiti watoto.. ( na m hii kumuingilia mtu kinyume na maumbile ikoje hii ukiachana na ilee mtoto wa kiume kuzaliwa na homoni za kike au wa kike kinyume chake) hii tunaiweka wapi et? Hawa MAPADRI hawana pesa au mihemko imezidi.. dunia inachanganya wakuu
 
Ukitaka mwanaume uwe Romantic...inabidi usitabirike katika mapenzi,,, Mwanamke abaki anjiuliza hivi uyu ananipenda au lah??,,,?hapo mwanamke ataongeza mapenzi kwako,,,,sasa mwanaume jifanye unapenda sana na mwanamke alitambue hilo...utajuta maana upendo utaeegemea upande mmoja...NARUDIA...MWANAUME USITABIRIKE
 
Tell you father
 
umenena vyema, tungependa utudadafulie vizuri kuhusu kutotabirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…