A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Jan 27, 2022 #41 Umesomeka vyema. Penye penzi la kweli na dhati ya moyo fedha siyo msingi. Fedha siyo determinant hata kidogo. Actually iwapo mtu anataka kufahamu raha ya penzi ni pale ambapo fedha siyo determinant ya penzi
Umesomeka vyema. Penye penzi la kweli na dhati ya moyo fedha siyo msingi. Fedha siyo determinant hata kidogo. Actually iwapo mtu anataka kufahamu raha ya penzi ni pale ambapo fedha siyo determinant ya penzi
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Jan 27, 2022 #42 Watu wengi wako kwenye mahusiano ya ngono na wala si mapenzi kama ambavyo wengi huzani.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Jan 27, 2022 #43 Tunahitaji maarifa zaidi kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Jan 27, 2022 #44 Mada yako ni nzuri sana tena umejaribu kuiweka kiweledi kwa namna fulani. Endelea kuwa unatuletea mwendelezo.
Mada yako ni nzuri sana tena umejaribu kuiweka kiweledi kwa namna fulani. Endelea kuwa unatuletea mwendelezo.