Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Acha tu.
Watu mitaani wanalia na marejesho.
Sahv ukipata bwana, inabidi umuweke wazi na miradi yako ya marejesho.
Maana hali tete
 
Ha haaa sijawahi ingia kwenye marejesho shoga, siweziii nitakonda bure 😀
 
Mimi nna vikoba viwili🤧🤧 ijumaa na jumapili...lol puta balaa...! Wanaume wenyewe ndo hawa tia maji tia maji
Nashukuru sina, maana najua wapi pa kupata pesa...hahahahahah!!!
Ila ninavyowaona akina mama wanavyohaha na marejesho, hadi huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…