Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa!
Mwe!
Mfia dini simtaki.
kwa wakubwa matataa...ila huku unanidhamu....all the best ila mimi ntaoa mdogo akoPesa tutazipata ndoani.
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.
Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
Weka upyaSijapata
Pia sifa zangu zingine zimepungua si unajua miaka 8 si mchezo.. 😀
Wangari Maathai atakuja kuzitaja shoga angu wa uchungu.Weka upya
Mradi apumue na ajue kumhandle mwanamke!Wangari Maathai atakuja kuzitaja shoga angu wa uchungu.
Aje chapu nijitathminiWangari Maathai atakuja kuzitaja shoga angu wa uchungu.
UmeharibuMradi apumue na ajue kumhandle mwanamke!
Suala la pesa usiliache nyuma..ni muhimu zaidi
Kabisa...ongezea hapo, ajue nina marejesho kuanzia J3 mpaka Jmosi hivo awe tayari kwa loloteMradi apumue na ajue kumhandle mwanamke!
Suala la pesa usiliache nyuma..ni muhimu zaidi
Amepunguza vigezo hapo kwa 30% masuala ya mkuyenge mkubwa ameomitUmeharibu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jaman nakufa mie huku .dah..marejesho mon -sun🤣🤣🤣!Kabisa...ongezea hapo, ajue nina marejesho kuanzia J3 mpaka Jmosi hivo awe tayari kwa lolote
Mtoto halali na hela umepata ujumbe?
Mkuyenge ulimrarua nasikiaAmepunguza vigezo hapo kwa 30% masuala ya mkuyenge mkubwa ameomit
Vijana si watuMkuyenge ulimrarua nasikia
Sasa wangu nitauweka wapVijana si watu