Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Duuh sister na kuhusu kupima Hiv si muhimu dada?? Au unataka kuingia kwenye mtandao nini dada?? Je kwa wale wasinzi? Wanaopenda chupi?nao wanaweza kuapply dada??sifa ulizotaja bado hazijakamilika dada kama unataka mume mwema na siyo utapata kimeo dear
 
Hilo la kupima UKIMWI mbona linajulikana bila hata kuuliza!
Asante mpendwa kwa kunieleweshag.
Thanx my dear.
 
Kwa nini wanawake wa Ki-Tz mnapenda wanaume waliowazidi umri? Hapo hakuna usawa?
 
Ninaelimu ya chuo cha Madrasa, juzuu ya 29, bado moja tu, vp nakufaa?
 
Nina sifa zaidi ya hizo, sigara na pomhe ndo kabisa sijawahi gusa. Nahitaji second wife, will you?
 
Back
Top Bottom