Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.

mm nawasiliana kwa simu pm baadae no.0753082524 mtoto sio tatizo kwani nayajua maisha ya chuo. Maelezo zaidi natafute kupitia no. Hiyo
 
mm nawasiliana kwa simu pm baadae no.0753082524 mtoto sio tatizo kwani nayajua maisha ya chuo. Maelezo zaidi natafute kupitia no. Hiyo

Haya kaka nur, nimekupata.
 
Last edited by a moderator:
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.

Madame, nahisi kama kuna sifa umeisahau kwa mtarajiwa wako, au wasifu wa ndani hutajali sana e.g. kibamia, one minute man etc? au sio wewe? Nasema tu kama shabiki wa post zako nahisi nilijifunza kitu unachokipenda.
 
Hahahaha wewe Zorrander kumbe mchokozi eeee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hallo dear,kiukweli umeji introduce vizuri mimi kinachonishangaza mbona hauweki mawasiliano ya simu?fanya hivyo ili tukuchukue sa we unajinadi halafu unazuga?
 
Mi nina sifa zote kasoro umri,faithfully nina maisha mazuri sana,kazi yangu haiendani na umri wangu.
 
Punguza umri madam huo mrefu sana jamani anzia 25.
 
Back
Top Bottom