Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

ha ha ha ha ha ha! wajina mbona unanianika tena hadharani pacha wangu?
unauza siri za chama.

huyu Evelyn Salt atatulia tu mwenyewe akikutana na mashine ya ukweeh!
hapa jamvini unakuta ni mbwembwe tu.

naaam Madame B ,vp umeshampata huyo msafi wako wa moyoni.

kimbelembele tu hapa love connect kutafuta mchumba ,wakati husband material nipo hapa na PM zangu hujibu.

asakuta same na pachao Shark hzo mbwembwe tu,kutongoza kwenyewe mlipata F.
Shogangu Evelyn Salt kuya pande hii.
 
Last edited by a moderator:
dah!

fursa mujarabu hii.

acha nami najaribu bahati yangu
 
Madame b,nilifikiri we ni changu fulani,nisamehe dada,napata picha sasa we ni mdada wa vp, nina miaka 39, ninawatoto wawili wa kike,mmoja yuko 4m 3,wa 2 yuko 4m 1. Mama tofauti,, nafanya kz samaki samaki,ni mfupi black,,, mkristo like born again
 
Da AshaDii mwambie huyo Yegomasika aache kupigiwa chapuo,aje mwenyewe,
Au ndo mambo ya domo zege!
Hebu ngoja nikohoe kidogo, koho, koho...Madame B, Yegomasika ameku-mind. Ni mvuvi mashuhuri huku kanda ya ziwa, urefu wake kwa kweli ni andunje, lakini Inshaallah vigezo vyote ulivyovitaja anavyo. Kama mambo vipi details zake zingine uzipate upande wa pili(PM)!.
 
Napita tuu...ila if u want table for two you know wat to do..mi sitaki ku pm
 
Madame b,nilifikiri we ni changu fulani,nisamehe dada,napata picha sasa we ni mdada wa vp, nina miaka 39, ninawatoto wawili wa kike,mmoja yuko 4m 3,wa 2 yuko 4m 1. Mama tofauti,, nafanya kz samaki samaki,ni mfupi black,,, mkristo like born again

We Ngumbaru nini!
Nani Changu?
Jiheshimu bro.
Changu Mkeo.
 
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.

niko tayari
 
je utakubali kuwa mke wa tatu? mimi vigezo vyote ni navyo....
 
Habari
Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
nina mtoto 6yrs nina 34yrs
 
Back
Top Bottom