Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamndenyi nimempeleka shamba akajifunze adabu....akirudi nitamleta kwako..
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tahadhari;
Hapa JF ukimchukua demu wa chit-chat inabidi usiwe na wivu kabisa, maana kule nako kuna ndoa zao, tena watu wanaolewa mitala. Unajiona umeoa demu wa peke yako kumbe kule chit-chat ana mumewe mwingine.
Nimetoa hili angalizo maana Madame B ni member kule. Huu ni mtazamo wangu tu, members msijenge chuki!!
Nimeachana nao soon. Wajua asakuta same anamtaka Evelyn Salt, ila sasa kuongea direct ndo anashindwa, so imebidi anitumie mimi nimuunganishie. Ila sidhani kama ataweza Pacha wangu yule.
Nimeachana nao soon. Wajua asakuta same anamtaka Evelyn Salt, ila sasa kuongea direct ndo anashindwa, so imebidi anitumie mimi nimuunganishie. Ila sidhani kama ataweza Pacha wangu yule.
Acha kunizibia niunganishe nami niolewe si unaona Madame B kafanya maamuzi tayari!!!
We sidhani kama ndugu yangu asakuta same atakuweza, ndugu yangu yule ni mpole sana kwa kweli,
Hata ananiambiaga nimuunganishie kwako, lakin hapana aisee. We labda kwa mbaaaali mimi pengine
Nimeachana nao soon. Wajua asakuta same anamtaka Evelyn Salt, ila sasa kuongea direct ndo anashindwa, so imebidi anitumie mimi nimuunganishie. Ila sidhani kama ataweza Pacha wangu yule.
We sidhani kama ndugu yangu asakuta same atakuweza, ndugu yangu yule ni mpole sana kwa kweli,
Hata ananiambiaga nimuunganishie kwako, lakin hapana aisee. We labda kwa mbaaaali mimi pengine
ha ha ha ha ha ha! wajina mbona unanianika tena hadharani pacha wangu?
unauza siri za chama.
Hebu nipigie ndogo ndogo nichukue hicho kifaa, AshaDii!.Madame B mdogo wangu... Nakutakia kila la kheri... Inshaallah ukifanikiwa kumpata mchumba anae faa kuwa mume na mkapanga kufunga ndoa, naahidi kushiriki kadri niwezavo na kuhudhuria katika hiyo ndoa. Kila la kheri...
Hebu nipigie ndogo ndogo nichukue hicho kifaa, AshaDii!.
Madame B mdogo wangu... Nakutakia kila la kheri... Inshaallah ukifanikiwa kumpata mchumba anae faa kuwa mume na mkapanga kufunga ndoa, naahidi kushiriki kadri niwezavo na kuhudhuria katika hiyo ndoa. Kila la kheri...
Yegomasika... Usiniangushe bana! Hebu gangamala hapo na uoneshe upendo wako. Mana kama unajilazimisha utachemka tu! Alafu kumbuka hapa kuna stiff competition...