Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Umri wangu umeniangusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koh koho...kikohozi chanisumbua.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mie mwenyewe najiuliza ni blue monday........
Nilijua tu mwisho wako utakuwa hivi....!!!
Nakusubiri uje nyumbani,leo usichelewe basi.
Nahisi shoga angu kalewa.....
eeeehh vipi tena ndugu wanataarifa
Madame B, mwenzio ni mshirikina na ni lazima nikung'oe kwa shuntama, limbwata, tambiko na mazindiko ya MziziMkavu
I wish you all the best boss! Ila majibu yako boss wangu mie hoi! Ha ha haaaa haaaaaaaa!
Shostii.
Vipi mama, vi-andunje kama sisi vina nafasi hapa?.Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.
Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
We acha tu.
Upweke huu,utanicost!!.
Shostii!