Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
eeeeehhhh mke mwenza yamekuwa haya ndoa ya mitala imekushinda
Uvumilivu umemshinda ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeeehhhh mke mwenza yamekuwa haya ndoa ya mitala imekushinda
Madame B, pandisha umri kidogo angalao kwa mwongo mmoja, na sisi tuwe eligible, umeweka uwingo mdogo mmno!
mimi nina sifa zote hizo kasoro umri wangu ni miaka48.
Kaka yangu Maddame B ana 32yrs , je utaweza, mana hapo si ushaanza kuchoka? Au--------?
madam application zingiwa nyingi uwafoward kwangu na mimi nataka
mimi nitawapokea kutoka kwa madame bjamani na mimi nipo my dear Simile! nikosa kuwa eligible kwa Madame B natuma application kwako!
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo. (committed christian)
aisee kama wewe sio mkristo ina maana ni muislam so unaposema huna elimu ya chuo nakushangaa...hata chuo/madrasa hujapita mkuu?Nisaidieni mie, mimi nadhani kuna tofauti ya kupenda na kutamani kuwa na mtu mwenye sifa unazozitaka.
Anaweza patikana mtu mwenye sifa hizo zote lakini usimpende, kama upendo unaouongelea hapa ni ule nnaoufaham mimi.
Wakati huohuo unaweza ukampenda mtu mwenye baadhi tu ya hizo sifa, cha muhimu ni kuamua hizo sifa zitakua na nafasi gani katika ndoa yako. Nakukumbusha kuwa tabia/sifa za watu zinabadilika, Samaritan wa 2011 au 2012 anaweza asiwe yuleyule 2013.
Mume/mtu wa kuishi nae ni zaidi ya hizo sifa. Ushauri wangu, usiweke msisitizo sana kwenye hizi sifa kwa sababu bado sio sifa za mume bora.
Kila la kheri na umpate mtu utakaempenda na yeye akupende kwa dhati.
Hizo red ndio zitafanya nisiku PM, vigezo vingine vyote niko sawa.
aisee kama wewe sio mkristo ina maana ni muislam so unaposema huna elimu ya chuo nakushangaa...hata chuo/madrasa hujapita mkuu?
Usijali Mke Mwenza.
Nikipata sitakutupa nitakuwa nakuja kujikumbushia 3some yetu na mume wetu.
tutakuwa tunabadilishana makazi mke mwenza
tuendeleze upendo wa agape lol
Koh koho...kikohozi chanisumbua.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kuna mtu kaiba password sio bure!!!!