Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Hapo kwenye blue hapo napaogopa sana! Wasomi??? Du! Masimango na nyodo zakufa mtu!
 
Hivi ni macho yangu ama naota. Madame B we si umeolewa? sasa mbona tena unatangaza nafasi ya kazi?
btw, bro. Chimbuvu ana taarifa na hili tangazo?:confused2::confused2::confused2:
 
Last edited by a moderator:
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Angekuwa Lisa yaani ningetupa karata maana naona ni mcheshi sana. Mungu aendelee kumpa ucheshi huo popote alipo.
 
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Never never change your lovers in the middle of the night
Everything may look so different in the early morning light
Give your man another chance.

Ikishindikana ni pm nina qualify hata kipengele kigumu cha sigara mimi sivuti, nashukuru hukukataza mwenye kuvuta bangi.
 
Back
Top Bottom