Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
ibie mimi nina sifa zote hizo kasoro umri wangu ni miaka48. Kinacho takikana Kwa Mwanamke kumtafuta Mwanamme wa kuolewa nawe Sio hayo yote bibie Huwezi kumpata mwanamme wa namna hiyo labda awe Mtu

Mzima kuanzia miaka 50 na kuendelea nijuavyo kwa Vijana asipo vuta Sigara basi atakuwa ni Mlevi wa Pombe au Mvuta unga au mwenda Disko kwa huo umri uliotaja bibie huwezi kupata vijana Mwenye tabia hizo kabisa. Kitu Muhimu kwa akina

Dada zangu ni kupata Mwanamme wa kuolewa nawe awe mwenye Tabia nzuri akisha kuwa na Tabia nzuri hayo yote uliyotaja yanafuatia tabia ya mtu ndio kitu muhimu kwa wana ndoa awe ni Mwanamke au ni Mwanamume akisha kuwa ana tabia nzuri hawezi tena kuwa ni

MvutaSsigara au Mlevi wa aina yoyte ile au jeuri hawezi kuwa nayo. Kitu muhimu ni tabia ya mtu ndio kitu muhimu sana ninakucha bibie hujambo lakini Madame B?
 
Hapo bibiye umenipiga bila kwani fikira zangu nilijua we ni motherfamily
 
Bibie mimi nina sifa zote hizo kasoro umri wangu ni miaka48. Kinacho takikana Kwa Mwanamke kumtafuta Mwanamme Sio hayo yote bibie Huwezi kumpata mwanamme wa namna hiyo lbada awe Mtu

Mzima kuanzia miaka 50 na kuendelea nijuavyo kwa vijana asipo vuta sigara basi atakuwa ni melevi wa pombe au unga au mwenda Disko kwa huo umri uliotaja bibie huwezi kupata vijana wenye tabia hizo kabisa. kitu Muhimu kwa akina

dada zangu ni kupata mwanamme mwenye tabia nzuri akisha kuwa na Tabia nzuri hayo yote uliyotaja yanafuatia tabia ya mtu tabia ndio kitu muhimu kwa wana ndoa awe ni mke au ni mume akisha kuw ana tabia nzuri hawezi tena kuwa ni

mvuta sigara au mlevi wa aina yoyte ile au jeuri hawezi kuwa tabia ya mtu ndio kitu muhimu sana ninakucha bibie hujambo lakini Madame B?

Sijambo shikamoo.
Nashukuru kwa yote MziziMkavu,najua kumpata mwenye sifa zote ni ngumu lakini angalau awe anafikafika.
Na kila kitu na kiasi.

Nisalimie mwanao Dulla,mwambie nimem-miss.
 
Last edited by a moderator:
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Mi si nilisema nakupenda ila sio ile ya watu kujua? Haya mi nina sifa zooote ulizozitaja na zaidi
 
Back
Top Bottom