Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

Never never change your lovers in the middle of the night
Everything may look so different in the early morning light
Give your man another chance.

Ikishindikana ni pm nina qualify hata kipengele kigumu cha sigara mimi sivuti, nashukuru hukukataza mwenye kuvuta bangi.

Hahahahaha
lol!
 
Asante jamani my dear Zion Daughter.
Hv juzi ulifika salama,maana Ruttashobolwa na figganigga walikuwa wanakupigia Misele ya nyuma nyuma.

Nakuombea kwa Mungu akupe furaha na kicheko..
Mimi nilifika salama kwani Mtambuzi alikuwa imara mzee wa mia na loya hawakuona ndani.

Mwanangu Zion Daughter hivi na wewe una mpango wa kutoa matangazo?

Baba nyota njema huonekana asubuhi..Naona dalili kwa mbali kuwa hakuna haja ya tangazo..Refer hapo chini

Wewe tayari umempata. Come ths way tuzungumze kikubwa.

Iam coming swiriie..

On serious note: Baba V Nicas Mtei na the like acheni utani mnamkimbizia madame B potentials kwa chitchat zenu.
 
Last edited by a moderator:
Mchumba unatafuta humu mhmm umechina hasa mwenye umbo la kike huna lolote unazingua watu tu wewe
 
Naomba members wenzangu muache utani kwa kuwa jukwaa hili siyo la utani na porojo.
Madame B nakutakia mema, Mungu aliye mpaji akupe hitaji la moyo wako, Amen!

Huu sio utani...ni katika kuhakikisha zoezi linakuwa zuri na lenye kuzaa matunda mema kwa Madame B.
 
Last edited by a moderator:
dada kila la kheri Inshaallah! msalimie mwanao.
 
Back
Top Bottom