Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Mkifanikiwa jamani msisahau kuleta feedbak!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.
Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
Wewe unaonekana mwanamke fulani hivi "dictator" kiaina...Ila too modern, ambacho sijaweza ku_extract kutoka kwenye maneno yako ni kuwa you need a "good" man to father your child/children ili wakue vizuri kisaikolojia or you need a man as kama symbol of "respect" kwenye jamii maana nikiona umri wako uko kwenye "red lights". Mimi Naomba kujua zaidi kwa hilo....
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.
Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.
Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
Dah!
Tumetoka mbali kweli.
Unakufaa?Mim nakufaa