Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,973
- 6,750
Habari za wakati huu;
Kwa wafanyabiashara na wawekezaji,kukopa ni sehemu ya ya kawaida kabisa ya maisha.Hata hivyo kuna wakati kwa kujua au kutokujua tunaonesha tabia ambazo zinaathiri uwezo wetu wa kukopa na wakati mwingine kutufanya tusikopesheke kabisa.
Kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa huduma za Fedha,wakopeshaji mbalimbali wa utaratibu wa kukusanya na kubadilisha taaarifa za wakopaji na mwenendo wao wa malipo.Kwa hapa Tanzania taasisi inayohusika na kusimamia hilo inaitwa creditinfo ambao hukusanya na kuchakata taarifa za wadaawa mbali wakiwamo watu binafsi na makampuni.
Kwa sasa hivi kila aina ya mkopo unoachukua huwa unapelekwa taarfa zake kwao kila mwezi ikiwamo mwenenendo wako wa malipo.Mifumo yao inao pia uwezo wa kufutilia matumizi yako ili kuweza kupata Profile kamili ya mtu katika suala zima la matumizi na usimamizi wa fedha.
Kutokana na kuongeze kaka kwa njia za kukopa kuna wakati watu hurtumia mnikopo midogo kama ya simu n.k na wakati mwingine hughaflika katika kuirejesha wakisahau kwamba mikopo hii inasimamiwa na taasisi za fedha na kwamba taarfia zake zinatumwa kwa hawa watu wa credit info.
Taarifa hizo hudumu kula kwa takribani miaka 6 au zaidi na kwamba kila unapoenda kuomba mkopo mahali popote hatua ya kwanza huwa ni kuvuta taarifa zako ili waweze kuona historia yako ya ukopaji.
Kuna wakati inatokea mtu anakopa na kutupa line kisha line inasajiliwa na mtu mwingine lakini Deni limnabaki likiwa limeambatana na taarifa zake.Matokeo yake anapoenda credit infor anajikuta abna deni lakini kwa sababyu hana namba husika tena anapata changamoto ya namna ya kulipa.Mabenki mengi hukutaka ulipe madeni yako yote ili waweze kukufikira kukukopesha.Hapo ndipo kazi huwa ngumu.
Kama wewe ni mfanya biashara ni muhimu sana ukawa natabia ya kupakua taarifa yako ya UKOPAJI credit report angalau mara moja kwa mwaka.Hii takusaidia kufahamu iwapo una madeni yoyote ambayo huna taarfa zake na unaweza ama kuyapinga ua kama unataarifa zake unayalipa.Kwa majibu wa taratibu za Credit info unaweza kupata taarifa moja byure kwa mwaka lakini pia unaweza kupata taarifa wakati wowote kwa kulipia ada maalum.
Tembelea tovuti zao ama ofisi zao ili ufahamu hali ya taarifa yako ya ukopaji.