Je, unafahamu Credit Report yako? Taarifa yako ya UKOPAJI?

Je, unafahamu Credit Report yako? Taarifa yako ya UKOPAJI?

Ndio boss.Actually mtu yeyote anayekudai anaweza kupeleka Taarifa zako kule iwapo ana uthibitsho wa Deni na kama anataka kuhakikisha taarifa zako zinafahamika.
Kuna mtu na mdai Toka 2025 mwezi wa pili. Ila hapokei simu tena, nimtumishi wa serikali, nitaratibu gani zinahitajika kupeleka taarifa zake uko.
Nb.Namjua ni mpenda mikopo sana hasa nmb bank.
 
Nilikopa kopa kwenye vikampuni uchwara vya mitandaoni sikuvilipa na vingine nilifuta apps zao...

Sasa kunasiku naingia nmb mobile ili nijivutie mshiko fasta maana uwezo wa kuchukua ni kama fifty hivi wamenigomea...

Nilipowapigia nmb wananiambia historia yangu ya mikopo ni mbaya sn ni malizane na wadai wangu kwanza...

Aisee nilichoka sn, by the way nipeni mbinu za kumalizana nao coz wengine nilishafuta apps zao
Piga Namba hii watakurekebishia Hata kama unadaiwa kwingine swala uwe mteja wao mwenye sifa za kukopa na mkopo uliopita ulilipa ndani ya muda na full. +255222760742
 
Back
Top Bottom