Nilikopa kopa kwenye vikampuni uchwara vya mitandaoni sikuvilipa na vingine nilifuta apps zao...
Sasa kunasiku naingia nmb mobile ili nijivutie mshiko fasta maana uwezo wa kuchukua ni kama fifty hivi wamenigomea...
Nilipowapigia nmb wananiambia historia yangu ya mikopo ni mbaya sn ni malizane na wadai wangu kwanza...
Aisee nilichoka sn, by the way nipeni mbinu za kumalizana nao coz wengine nilishafuta apps zao