Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

Vifuani mwenu mmeficha chuki kubwa dhidi ya Zanzibar... na si Zanzibar kama jina ila ni zaidi ya hapo...... Allah atadhihirisha hili siku moja Insha Allah

swadakta mkuu, makafir daima hawapendi munayoyafanya! wanafanya kila mbinu kuwalaghai! kuna mazingatio kwa mwenye kujua!
 
mkuu pasco "soma" usiburuzwe! ivi unajua kua zanzibar iliandaliwa iungane na kenya kwa mbinu za kijasusi, distance ndo ilikua criteria ya zanzibar kuungana na tanganyika? ivi unajua visiwan kokote duniani ni tajiri by nature? refer island biogeography and spp richness! rudi chuo pasco!

Mmmh kwa hivo tuhamie Ukerewe na Mafia sio?

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hawataki kujishughurisha na kufahamu mambo kama vile mjamaa mmoja niliyemsikia akisema kuwa zikianzishwa serikali tatu ataingia msituni kujisaidia!
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco

Gongo mbaya sana na zaidi ukiwa mchumia tumbo kama Pasco
 
Pasco,

Je unaweza kutueleza Eneo la nchi ya Znz limeingia mpaka Tanganyika kwa maili ngapi? kufuatana na mkataba wa kimataifa wa eneo hilo la Znz?

Je huoni kuwa nje ya muungano Ikulu ya magogoni, jengo la BOT (twin tower) na viunga vyake vyote kuanzia mnazi mmoja, posta, kariakoo nk vitakuwa katika eneo la Znz?
Mkuu Barubaru,

Najua unazungumzia zile 10 miles za coastal strip ya wale wakoloni, mabeberu na makabaila wa Berlin wa ile 1884, walimgawia Sultan visiwa vile vya Zanzibar na10 miles za ukanda wa Pwani as if visiwa vile ni mali ya Sultan!, kumbe hata huyu Sultani mwenyewe ni mvamizi fulani tuu, kama walivyo wavamizi Wajerumani.

Baada ya Mjerumani kupata kipigo kitakatifu, akanyanganywa maeneo yote aliyoyapora, na ndipo Tanganyika ikakabidhiwa kwa Waingereza ile 1920 na ukaingiwa mkataba wa Hellingoland, ambapo kwenye mkataba huo, ule ukanda wa maili 10 kufutwa rasmi na kurejeshwa Tanganyika, na ni kipindi hicho Waingereza walipowapa Ziwa Nyasa wenzetu wa Malawi!.

Paskali
 
Mkuu Barubaru,

Najua unazungumzia zile 10 miles za wale wakoloni, mabeberu na makabaila wa Berlin wa ile 1884, walimgawia Sultan visiwa vile vya Zanzibar na maili 10 za ukanda wa Pwani as if visiwa vile ni mali ya Sultan, kumbe hata huyu Sultani mwenyewe ni mvamizi fulani tuu, kama walivyo wavamizi Wajerumani.

Baada ya Mjerumani kupata kipigo kitakatifu, akanyanganywa maeneo yote aliyoyapora, na ndipo Tanganyika ikakabidhiwa kwa Waingereza ile 1920 na ule ukanda wa maili 10 kufutwa rasmi, na ni kipindi hicho Waingereza walipowapa Ziwa Nyasa wenzetu wa Malawi!.

Pasco

Je kuna mkataba wowote ulioopo wa kufutwa kwa hiyo 10 miles za Znz kwa Tanganyika?

 
Je kuna mkataba wowote ulioopo wa kufutwa kwa hiyo 10 miles za Znz kwa Tanganyika?

Mkuu Barubaru, mkataba rasmi wa kuzifuta hizo 10 miles za coastal strip, upo, ni mkataba wa Hellingoland, pia ramani zote tangu 1920 zinaonyesha Tanganyika hadi kando ya bahari!. Ni hivyo hivyo kwa ziwa Nyasa linaonyeshwa liko Malawi, wakati ziwa Tanganyika liko Tanzania. Ramani za zamani ziliukata mlima kilimanjaro nusu nusu na Kenya, Waingereza wakaipindisha ramani pale mlima ukawa huku kwetu!.

Kwa vile Zanzibar ilikuwa part ya Tanganyika during Ice Age, tuwaweza kusema aneo lote la Zanzibar lilikuwa part of Tanganyika kabla wavamizi Waarabu hawajalitwa na kuunda Zenj Empire!. Kwa vile mlipewa hizo 10 miles costal trip na Mjerumani ile 1884 kwenye mkutano wa Berlin, mnaweza kabisa mkarudia Mjerumani na kumlalamikia kuwa mmeporwa hivyo you have the right to claim what was rightly yours from 1884 na sisi not only tutaclaim what was ours pre-1884, but we can, as well chase away wavamizi hawa na vizalia vyao warudi kwao walikotoka on the first place!.

Hivyo unaweza kupima ipi bora!, bora mjinyamazie kimya na mkaachwa kuendelea kuishi kwa hisani kwenye eneo mlilovamia, au mkaamua kupiga kelele za kuporwa kisicho chako, kisha mwenenacho halisi akaja sio tuu akakupokonya hata hicho kidogo ulichopora!,bali pia akakutimulia mbali, urudi kwenu kwenye asili yenu mlikotoka!.

The choice is yours!.

Pascal.
 
Hakuna mkataba wowote rasmi wa kuzifuta ila ramani zote tangu 1920 zinaonyesha Tanganyika hadi kando ya bahari!. Ni hivyo hivyo kwa ziwa Nyasa linaonyeshwa liko Malawi, wakati ziwa Tanganyika liko Tanzania. Ramani za zamani ziliukata mlima kilimanjaro nusu nusu na Kenya, Waingereza wakaipindisha ramani pale mlima ukawa huku kwetu!.

Kwa vile Zanzibar ilikuwa part ya Tanganyika during Ice Age, tuwaweza kusema aneo lote la Zanzibar lilikuwa part of Tanganyika kabla wavamizi Waarabu hawajalitwa na kuunda Zenj Empire!. Kwa vile mlipewa hizo 10 miles costal trip na Mjerumani ile 1884, mnaweza kabisa mkarudia Mjerumani na kumlalamikia kuwa mmeporwa hivyo you have the right to claim what was rightly yours from 1884 na sisi not only tutaclaim what was ours pre-1884, but we can, as well chase away wavamizi haws na vizalia vyao warudi kwao walikotoka on the first place!.

Hivyo unaweza kupima ipi bora!, bora mjinyamazie kimya na mkaachwa kuendelea kuishi kwa hisani kwenye eneo mlilovamia, au mkaamua kupiga kelele za kuporwa kisicho chako, kisha mwenenacho halisi akaja sio tuu akakupokonya hata hicho kidogo ulichopora!,bali pia akakutimulia mbali, urudi kwenu mlikotoka!.

The choice is yours!.

Pascal.

Hii stori uloweka nimeipenda kweli, kwani inanikumbusha enzi za alfu lela ulela ambako Afrika iliungana na middle east hivyo Egypt iliungana kabisa na Israel na vile Afrika iliungana na Europe kwani kule Algeria iliungana na spain na france. Lakin kiujumla wake kwa mujibu wa story yyako inasema wazi kuwa Mola aliunda nchi kavu kwa maana ya Duniya na pembeni mwa dunia ilizungukwa na maji kwa maana ya bahr hivyo hakukuwa na kisiwa wala mabara au vp?

Lakin vile vile kwa mujibu wa Pasco inawezekana vile vile Tanganyika ikawa sehemu ya Znz au kinyume chake kama alivyobainisha.

Pasco, Nimeipenda sana story yako.
 
Pasco,

Je unaweza kutueleza Eneo la nchi ya Znz limeingia mpaka Tanganyika kwa maili ngapi? kufuatana na mkataba wa kimataifa wa eneo hilo la Znz?

Je huoni kuwa nje ya muungano Ikulu ya magogoni, jengo la BOT (twin tower) na viunga vyake vyote kuanzia mnazi mmoja, posta, kariakoo nk vitakuwa katika eneo la Znz?

Katika huo mkataba ni nani aliwakilisha Zanzibar na nani aliwakilisha Tanganyika? katika kuigawa ardhi ya nchi yao ya ahadi....
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco

Kweli kuna hadithi na simulizi zisizokuwa na ushahidi na hiyo inatoka na waafrika kutokuwa na utamaduni ya kuandika historia yetu lakini hadithi na simulizi nyengine huwa za kweli

Kutokana na waafrika kutokuwa na utamaduni wa kuandika mambo muhimu na yasio muhimu ndio yanatokea haya ya kutoamini chochote kinachosimuliwa na mwafrika,na ndio maana akina wanamapinduzi kama Maisara Suleiman akaigeuza historia na kuwambia wazanzibar kuwa warabu walikuwa wanawakata wazanzibar wajawazito wenye asili ya kiafrika matumbo ili waone mtoto kakaaje tumboni

Kwa upande wangu mtu yoyote anaesema mapinduzi ya zanzibar yameirejesha hadhi ya zanzibar namuona ana akili mgando,habari ya kueleza manufaa na kasoro za mapinduzi ya zanzibar ni ndefu sana lakini kwa ufupi mapinduzi ya zanzibar yameleta ubaguzi zanzibar yameirejesha zanzibar nyuma kimaendeleo, ........nk

Mfano kabla ya mapinduzi wazanzibar wenye asili yoyote akiwa mwarabu,muhindi aliweza kujiunga na polisi au jeshi kwa sasa hiyo haiwezekani..Kabla ya mapinduzi Zanzibar ilikuwa inauchumi mkubwa katika nchi za Afrika mashariki na kati,zanzibar ilkuwa na zao lake na uchumi(Karafuu,Nazi),ilkuwa na Dini yake (Islam),ilikuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa(demokrasi),ilikuwa na watu wake walikuwa (waswahili),mapinduzi yamepindua historia ya zanzibar na kuifanya zanzibar iwe nchi isiojijua....

Kabla ya mapinduzi Tulikuwa tunawaona wazanzibari wenye kila asili wakiuza vitu barabarani mfano washihiri(yemen) walikuwa wauzaji wakubwa wa kahawa barabarani,lakini tangu ujio wa mapinduzi wazanzibar wenye asili ya asia na mashariki ya kati(wahindi,warabu) ndio wamekuwa matajiri na wazanzibari wenye asili ya kiafrika ndio wamekuwa mafukara hali hii ilikuwa haipo, kabla ya mapinduzi kila mtu alikuwa na haki kama mzanzibari,wazanziabar wa asili zote walikuwa wanahaki ya kuitumikia zanzibar

Lakini sasa waafrika(wanamapinduzi) wamekamata serikali wamefanya wazanzibari wasio waafrika waingie kwenye biashara wakitaka wasitake,mapinduzi yameweka tabaka mbili kwa mzanzibar,matawala na mtawaliwa.

sasa sijui haya mapinduzi tutayatukuza kivipi

Tafakari
 
"Jini limekwisha toka chupani". Zanzibar kuhusu kurudia himaya yake ni wajibu. Hatuna haja ya tanganyika ila tunahaja yakuwa watu huru. Tanganyika na Nyerereism hawakutuchukuwa sisi kama ndugu bali chumo. Sasa kizazi kipya wamechoshwa na huu nuhafidhina. Hamuwezi tena kulizuia wimbi la mabadiliko ila munaweza kulisogeza mbele tu ambapo athari yake itakuwa kubwa zaidi.

Wazanzibari wasio wengi -makada ya CCM munawaona wanavo hangaika kutaka kuwaridhia mabwana zao wa bara. Eti wanataka kubadilisha katiba, zanzibar isiwe nchi - hahahhaha. Mengine wanajichimbia wenyewe, hapa zanzibar hapabadiliki katiba bila ya ridhaa ya wananchi. Kwa ujinga wa viongozi wa CCM, chama cha wanachi kimeongeza wafuasi kufikia 85%. Kila leo wanazuka na upumbavu mpya.Bonyeza hiyo link hapo Raza awapaka mawaziri wa SMT | Zanzibar Yetu
 
Huenda ikawa wazanzibari wanajigamba sana na historia,lakini ukweli ni kwamba historia ya zanzibar iko pamoja na kilwa,bagamoyo,mombasa,na hata Mvita yote .Sasa Kufika kwa nabii suleiman zanzibar haaina proof,lakini kule sofala ndani ya Zimbabwe kuna machimbo yanayoitwa King Solomon"s mines.Inaaminika ilikuwepo misafara ya kutoka Jerusalem kuja Sofala enzi za utawala wa Mfalme Suleiman.Na yeye anaaminika kuwa Aliitawala duni kwa zama Zake.Wafalme wote duniani walimtambua na kumuheshimu kama super power wa enzi hizo.Ikiwa zanzibar ilikuwa na influence ya kiutawala enzi hizo basi misafara ya nabii Suleiman (watu wake aau na yeye mwenyewe) ilipita zanzibar kuelekea Musa bin Baik Mosambique ya leo na kuingia hadi Sofala kuchimba dhahabu.Zanzibar ilitumika kama bandari na kituo ha msafara wa mfalme suleima.

someni vizurihistoria misikurupuke tu.
Ama hivi sasa zanzibar imeporwa na imekaliwa kisiasa na Tanganyika kwa kupitia vibaraka waliokuja zamani kutoka bara na kulowea hapa zanzibar,na leo wao ndio wanaojinasibisha na uzanzibari halisi,ilhali wale wazawa halisi wakiambiwa eti ni waarabu au majina mengine ya kiuchohezi.
Mtukama borafya
Ali hassan mwinyi na wanawe,
Dr Gharibu Bilali,
Shaka hamdu shaka,
Waride,
Edington kisasi,
na wengine wengi wamepata political influency na sasa wanaiamulia zanzibar khatma.kwa kuifuta hata historia.
 
Back
Top Bottom