Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

Nijuavyo ni kuwa hata Tanganyika kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa himaya ya Zinjbar.

unakosea inakuwa himaya ya mwarabu. wavamizi wa kiarabu ndio waliotawala sio zanzibar kama utemi flan hivi.
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.
Pasco
Hizi ni salamu zangu tuu kwa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Pasco
 
Mkuu Barubaru,

Najua unazungumzia zile 10 miles za wale wakoloni, mabeberu na makabaila wa Berlin wa ile 1884, walimgawia Sultan visiwa vile vya Zanzibar na maili 10 za ukanda wa Pwani as if visiwa vile ni mali ya Sultan, kumbe hata huyu Sultani mwenyewe ni mvamizi fulani tuu, kama walivyo wavamizi Wajerumani.

Baada ya Mjerumani kupata kipigo kitakatifu, akanyanganywa maeneo yote aliyoyapora, na ndipo Tanganyika ikakabidhiwa kwa Waingereza ile 1920 na ule ukanda wa maili 10 kufutwa rasmi, na ni kipindi hicho Waingereza walipowapa Ziwa Nyasa wenzetu wa Malawi!.

Paskali
Je kuna mkataba wowote ulioopo wa kufutwa kwa hiyo 10 miles za Znz kwa Tanganyika?
Hakuna mkataba wowote rasmi wa kuzifuta ila ramani zote tangu 1920 zinaonyesha Tanganyika hadi kando ya bahari!. Ni hivyo hivyo kwa ziwa Nyasa linaonyeshwa liko Malawi, wakati ziwa Tanganyika liko Tanzania. Ramani za zamani ziliukata mlima kilimanjaro nusu nusu na Kenya, Waingereza wakaipindisha ramani pale mlima ukawa huku kwetu!.

Kwa vile Zanzibar ilikuwa part ya Tanganyika during Ice Age, tuwaweza kusema aneo lote la Zanzibar lilikuwa part of Tanganyika kabla wavamizi Waarabu hawajalitwa na kuunda Zenj Empire!. Kwa vile mlipewa hizo 10 miles costal trip na Mjerumani ile 1884, mnaweza kabisa mkarudia Mjerumani na kumlalamikia kuwa mmeporwa hivyo you have the right to claim what was rightly yours from 1884 na sisi not only tutaclaim what was ours pre-1884, but we can, as well chase away wavamizi haws na vizalia vyao warudi kwao walikotoka on the first place!.

Hivyo unaweza kupima ipi bora!, bora mjinyamazie kimya na mkaachwa kuendelea kuishi kwa hisani kwenye eneo mlilovamia, au mkaamua kupiga kelele za kuporwa kisicho chako, kisha mwenenacho halisi akaja sio tuu akakupokonya hata hicho kidogo ulichopora!,bali pia akakutimulia mbali, urudi kwenu mlikotoka!.

The choice is yours!.

Pascal.
Hii stori uloweka nimeipenda kweli, kwani inanikumbusha enzi za alfu lela ulela ambako Afrika iliungana na middle east hivyo Egypt iliungana kabisa na Israel na vile Afrika iliungana na Europe kwani kule Algeria iliungana na spain na france. Lakin kiujumla wake kwa mujibu wa story yyako inasema wazi kuwa Mola aliunda nchi kavu kwa maana ya Duniya na pembeni mwa dunia ilizungukwa na maji kwa maana ya bahr hivyo hakukuwa na kisiwa wala mabara au vp?

Lakin vile vile kwa mujibu wa Pasco inawezekana vile vile Tanganyika ikawa sehemu ya Znz au kinyume chake kama alivyobainisha.

Pasco, Nimeipenda sana story yako.
Mkuu Barubaru, tangu primary na secondary tumefundishwa kuhusu mkataba wa Heligoland lakini hatukuwahi kupata fursa ya kuvipitia vipengele vya mkataba huu. Kumbe ndio ulioipokonya Zanzibar ile 10 miles ya costal strip ambayo Waingereza waliwapa Wajerumani.

Pitia hapa

https://www.google.com/url?sa=t&sou...egADMc8XWsV3uMG0g&sig2=TXb_Ysv-B-XeL6SpPddXBg
Paskali
 
Wewe unaejiita Pascal ni mtu usiejua hata historia ya familia yako , jitafute kwanza ndio ulete upuuzi wako humu JF, watu wana akili zao timamu humu , huijui historia ya Znz na ni bora ukafunga mkundu wako
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco

Ungalitupa reference , usiropokwe tu kwa utashi wa chama chako CCM, na kanisa lako la kikatoliki
 
Na Zinjbar ikiwa chini ya Sultan wa Oman.....then Tanganyika ikampindua Sultan wa Oman?

Tanganyika haikumpindua sultani, imepindua serikali iliyochaguliwa na watu ikiongozwa na Waziri Mkuu ,Muhammed Shamte

Nyerere aliwafunga gerezani Muhammed Shamte na mawaziri wa serikali yake huku Tanganyika kwa miaka zaidi ya 10, hata kabla ya huo uitwao muungano. Bila hata kufikishwa mahakamani
 
Iyo miaka ulioitaja Pasco ulikuwa unahesabu ww au babu yako
 
Ungalitupa reference , usiropokwe tu kwa utashi wa chama chako CCM, na kanisa lako la kikatoliki
Pokea
main-qimg-5cbc19ebebd337281fd47d1270670a81-c.jpg
 
Tanganyika haikumpindua sultani, imepindua serikali iliyochaguliwa na watu ikiongozwa na Waziri Mkuu ,Muhammed Shamte

Nyerere aliwafunga gerezani Muhammed Shamte na mawaziri wa serikali yake huku Tanganyika kwa miaka zaidi ya 10, hata kabla ya huo uitwao muungano. Bila hata kufikishwa mahakamani

Ama....sasa kwa nini Sultani alikimbia kama hakupinduliwa?
 
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.

Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.

Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.

Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.

Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.

Pasco
Kumbe hichi ndicho unachozungumzia. Unaongea miaka Milioni nyuma!! 😀 😀 😀. Kipindi icho kiongozi wa hio bara tanganyika alikuwa nani? Madagascar pia imemomonyoka kutoka Bara, kwaio wao ni nchi gani?

Just kwa taarifa yako, Mkoloni wa kwanza kuja Zanzibar alikuwa portuguese. Mbona mnaogopa kuwataja hawa 😀 😀
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Back
Top Bottom