Je, unafahamu hili juu ya Zanzibar?

Nijuavyo ni kuwa hata Tanganyika kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa himaya ya Zinjbar.

unakosea inakuwa himaya ya mwarabu. wavamizi wa kiarabu ndio waliotawala sio zanzibar kama utemi flan hivi.
 
Hizi ni salamu zangu tuu kwa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Pasco
 
Je kuna mkataba wowote ulioopo wa kufutwa kwa hiyo 10 miles za Znz kwa Tanganyika?
Mkuu Barubaru, tangu primary na secondary tumefundishwa kuhusu mkataba wa Heligoland lakini hatukuwahi kupata fursa ya kuvipitia vipengele vya mkataba huu. Kumbe ndio ulioipokonya Zanzibar ile 10 miles ya costal strip ambayo Waingereza waliwapa Wajerumani.

Pitia hapa

https://www.google.com/url?sa=t&sou...egADMc8XWsV3uMG0g&sig2=TXb_Ysv-B-XeL6SpPddXBg
Paskali
 
Wewe unaejiita Pascal ni mtu usiejua hata historia ya familia yako , jitafute kwanza ndio ulete upuuzi wako humu JF, watu wana akili zao timamu humu , huijui historia ya Znz na ni bora ukafunga mkundu wako
 


Ungalitupa reference , usiropokwe tu kwa utashi wa chama chako CCM, na kanisa lako la kikatoliki
 
Na Zinjbar ikiwa chini ya Sultan wa Oman.....then Tanganyika ikampindua Sultan wa Oman?

Tanganyika haikumpindua sultani, imepindua serikali iliyochaguliwa na watu ikiongozwa na Waziri Mkuu ,Muhammed Shamte

Nyerere aliwafunga gerezani Muhammed Shamte na mawaziri wa serikali yake huku Tanganyika kwa miaka zaidi ya 10, hata kabla ya huo uitwao muungano. Bila hata kufikishwa mahakamani
 
Iyo miaka ulioitaja Pasco ulikuwa unahesabu ww au babu yako
 


Ama....sasa kwa nini Sultani alikimbia kama hakupinduliwa?
 
Kumbe hichi ndicho unachozungumzia. Unaongea miaka Milioni nyuma!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€. Kipindi icho kiongozi wa hio bara tanganyika alikuwa nani? Madagascar pia imemomonyoka kutoka Bara, kwaio wao ni nchi gani?

Just kwa taarifa yako, Mkoloni wa kwanza kuja Zanzibar alikuwa portuguese. Mbona mnaogopa kuwataja hawa πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kumbe hichi ndicho unachozungumzia. Unaongea miaka Milioni nyuma!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€. Kipindi icho kiongozi wa hio bara tanganyika alikuwa nani? Madagascar pia imemomonyoka kutoka Bara, kwaio wao ni nchi gani?

Just kwa taarifa yako, Mkoloni wa kwanza kuja Zanzibar alikuwa portuguese. Mbona mnaogopa kuwataja hawa πŸ˜€ πŸ˜€
 
Just kwa taarifa yako, Mkoloni wa kwanza kuja Zanzibar alikuwa portuguese. Mbona mnaogopa kuwataja hawa πŸ˜€ πŸ˜€
Ni kweli Mreno ndio alitangulia wakati wa utawala wa Mwinyi Mkuu, hivyo Mwinyi Mkuu akamkaribisha Mwarabu kuja kumsaidia kuwatimua Wareno, na baada ya kuikamilisha hii kazi, unakijua Mwarabu alimfanya nini Mwinyi Mkuu na watu wake?.

Kasome hapa
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu wali-teswa, -hasiwa, -bakwa, na kuuawa kinyama!

P
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…