Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Suala la Usalama na Afya mahali pa kazi ni muhimu kuangaliwa kwa makini tunakoelekea kwenye uchumi wa kati unaoongozwa na viwanda ili kuokoa maisha ya wengi.
Shirika la kazi Duniani (ILO) limeonesha kuwa kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha na ndani ya saa 24 wafanyakazi 5760 hupoteza maisha yao
Kwa mujibu wa Shirika la kazi Duniani (ILO), Kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha na ndani ya saa 24 wafanyakazi 5,760 hupoteza maisha yao kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi.
Kila sekunde 15, Wafanyakazi 153 hupata maradhi yatokanayo na kazi na hivyo ndani ya saa 24 Wafanyakazi 881,280 hupatwa na maradhi.
Chanzo: www.futurelearn.com/courses/occupational-health-developing-countries/0/steps/13074.