Huyu jamaa namkubali sana maana hata baadhi ya mafunzo kwenye kibarua changu cha ulinzi niliyafanyia kwakeUzima upo Mkuu, Mungu ni mwema sana.
Huwa pp yako inachangia sana Mtu kutoshindwa kukukumbuka kwa jinsi huyo Jamaa alivyo sirias [emoji16]
Sawa sawa Chifu, kama ni hivyo basi uko sawa kabisa, ingawa mi nilikuwa namkubali sana Fideli Castro toka Cuba kuliko yeyote dunianiHuyu jamaa namkubali sana maana hata baadhi ya mafunzo kwenye kibarua changu cha ulinzi niliyafanyia kwake
Ongea kitu kiongozi waweza nibadirisha kitu“Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga ”
Wanawake wabaya ndio wanachagua maumbile ya mtu lakini wale 10s na 9s wanaangalia vitu vya rohoni (kama upendo wa kweli nk)ndio maana watu kama nyie mnasikika mitaani “kampendea nini au hawaendani”..ungekuwa Mkristo ningekuambia kitu ila Catholic aarrghhh
Umeongea vizuri ila umeharibu kuniuta Dog..Don't do that againHongera dogo, mada nzuri though umeharibu kwenye chumvi maana tayari huo ni ushirikina.
Nimeandika kwenye note book yangu baadhi ya points na zimekua prayer points zangu. Hua nafuta bad records zangu katika ulimwengu wa roho, kwa andiko lako hili nimejifunza zaidi na pia nitalifanyia kazi. Hapa kudelete ni kwa kutumia jina kuu lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, kwa damu yake anafuta yote. Pia kuusoma 2 Korintho 5:17, kuutafakari na kuukiri utakusaidia sana, asante sana kwa andiko
nimekusoma mkuuTumetofautiani bongo.. wangine hawaelewi mara moja
Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.
Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.
Unforgetable