Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Aisee... Well said mkuu
 
Nimefungua hilo uzi huu kutokana na hili jina 'Denvers'

Nairobi , Tokyo........
No huyu sio Denvers wa money heist.
Ni Carol Danvers au Captain Marvel mimi nilikosea wakaweka e kwenye a. Denvers wa money haina s.. hafu ni jiji huko Corolado wakati Danvers ni jina la kiume
 
Ooohh kumbe
No huyu sio Denvers wa money heist.
Ni Carol Danvers au Captain Marvel mimi nilikosea wakaweka e kwenye a. Denvers wa money haina s.. hafu ni jiji huko Corolado wakati Danvers ni jina la kiume
 
Will come the day when everyone will want...
 
Will come the day when everyone one will want to shake hand with that worthless n useless guy!
 
Will come the day when everyone one will want to shake hand with that worthless n useless guy!
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
Umeeleweka...hata kwa wale wa la 5 b.
Umetumia mifano mizuri... . ..
 
Jamaaa umetisha sana kwa maelezo yako kuntu, ila kuhusu hili suala la kuwa addicted wa mambo haya yafuatayo 1.matumizi ya vileo, 2. Kupenda starehe, 3. Master(kujichua) nk nk ni moja kati ya mambo magumu mtu kujinasua..ila yataka moyo kuyashinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Haya majina mawili yamenichanganya ngoja niendelee kuwasoma kwa mpigo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…