Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifnya kitu
fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi
kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi
zinafahamika pia kama Web cookie,blowser cookie,internet cookie..Hizi ni data ndogondogo
ambazo huchukuliwa kwenye web,internet,browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer
wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (usser)
anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Pasword,page ipi umetembelea, Majina,nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe
rahisi kutumia.
Sasa hii paragraph we unaona inaendana na kichwa cha habari ulichoanza nacho?
 
Sasa hii paragraph we unaona inaendana na kichwa cha habari ulichoanza nacho?
Nafikiri hivo mkuu...
Maana hata kichwa cha habari na yaliyomo tofauti kabisa...ulitaka ukute kweli ninaelezea mateso na taabu nazokumbana nazo maishani?
Mtu asipoelewa kiini cha mada..ataelewa hayo mambo ya wakati anatumia internet. Ni elimu 2 wakati mmoja
 
Nafikiri hivo mkuu...
Maana hata kichwa cha habari na yaliyomo tofauti kabisa...ulitaka ukute kweli ninaelezea mateso na taabu nazokumbana nazo maishani?
Mtu asipoelewa kiini cha mada..ataelewa hayo mambo ya wakati anatumia internet. Ni elimu 2 wakati mmoja
mimi nasema kwa mtumiaji wa internet na mwenye uelewa kidgo kuhusu cookes atakuelewa zaidi kwani umetumia mfano sahihi.
 
Daaah Ahsante. Pole yao. So unanishauri ni edit mada?
yap sehemu ya kuedit nadhani ni kichwa cha mada ili isilete mkanganyiko maana wasomaji wakisoma title wanategemea kukuta unavyoelezea maisha yako namna unavyoandamwa na mikosi kitu ambacho ni tofauti kwenye mada hvyo wanabaki kukosoa tu.
 
yap sehemu ya kuedit nadhani ni kichwa cha mada ili isilete mkanganyiko maana wasomaji wakisoma title wanategemea kukuta unavyoelezea maisha yako namna unavyoandamwa na mikosi kitu ambacho ni tofauti kwenye mada hvyo wanabaki kukosoa tu.
Ahsante mkuu ngoja niombe msaada kwa moderators
 
Mkuu imeeleweka sana, kuna vitabu viwili navikubali sana vinaeleza hii kitu in details na practice ya namna gani unaweza kubadilika. Think and grow rich cha Napoleon Hill na the Power of your Subconscious mind cha Dr. Joseph Murphy, pamoja na lectures za Bob Proctor - zipo nyingi sn online na za Abraham Hicks zimejaa elimu kubwa mno ya namna ya kutambua uwezo wa kiroho alionao binadamu na jinsi ya kuitumia nature kupata kila unachotaka, kuumba, tuna uwezo wa uumbaji kwa kuwa tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na matajiri, wagunduzi wengi wanaumba mambo subconsciously kabla ya kuumba physically.

Elimu ya kiroho ni kubwa kuliko tunavyodhani na kimsingi dini nyingi za kimagharibi zimetubrainwash na hatujitambui tena mostly. My 50 cents...
 
Mkuu imeeleweka sana, kuna vitabu viwili navikubali sana vinaeleza hii kitu in details na practice ya namna gani unaweza kubadilika. Think and grow rich cha Napoleon Hill na the Power of your Subconscious mind cha Dr. Joseph Murphy, pamoja na lectures za Bob Proctor - zipo nyingi sn online na za Abraham Hicks zimejaa elimu kubwa mno ya namna ya kutambua uwezo wa kiroho alionao binadamu na jinsi ya kuitumia nature kupata kila unachotaka, kuumba, tuna uwezo wa uumbaji kwa kuwa tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na matajiri, wagunduzi wengi wanaumba mambo subconsciously kabla ya kuumba physically. Elimu ya kiroho ni kubwa kuliko tunavyodhani na kimsingi dini nyingi za kimagharibi zimetubrainwash na hatujitambui tena mostly. My 50 cents...
Ahsante sana mkuu. Nafurahi kuona watu wengine wenye uelewa wa mambo haya wanachangia mada.. yes ni kweli tuna nguvu kubwa ndani yetu coz tuna uungu.
Kila kitu kinaanzia kwenye subconcious mind basi tu hatujitambui. Laiti tungejua wala dunia tusingeishi kama mashetani
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umenichekesha sana jamani. Ngoja nitarudi
😂😂😂😂 Nahisi nimeandika mambo mengi ambapo kama kichwa chako hakiwezi kuyabeba kwa pamoja naona hutanielewa.
 
Usijishtukie Mkuu mm nimekuelewa vizuri sana so relax..kuna msemo ukiona kitabu hukielewi ujue hukuandikiwa ww yaan hakikuhusu tafuta kingine hivyo usitumie nguvu kuwafanya wasiohusika na ujumbe wako wakuelewe..










Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Ahsante sana mkuu Barikiwa
 
Umeandika vizuri mno na mada yako ni nzuri nimeielewa kabla hata sijafika mwisho...
ungeindaa kwa siku mbili kisha ukaiedit ili hadhira yako ielewe ingekuwa jambo zuri sana...ingeeleweka kwa wadau almost 90%
Nipe suggestions wapi ni-edit mkuu.
 
Back
Top Bottom